Tuitishe kura ya maoni juu ya mgomo wa madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuitishe kura ya maoni juu ya mgomo wa madaktari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jingalao, Jul 1, 2012.

 1. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,380
  Likes Received: 10,529
  Trophy Points: 280
  Ili kuondoa unafiki,sintofahamu na manungu'niko juu ya utatuzi wa mgomo wa madaktari ambao umedumu kwa nusu mwaka sasa ningeshauri wananchi ambao ndio waathirika wakuu wa mgomo wapewe fursa ya kupiga kura ya maoni juu ya swala hili.wananchi wapewe fursa ya kusema haki na wajibu wa pande zote mbili ziwe vipi.

  Ni ukweli usiopingika kuwa serikali,bunge na mahakama kwa nyakati tofauti wameshindwa kutatua mgogoro huu,hivyo ni wakati muafaka wa kurudisha swala hili kwa wananchi wenyewe waamue.
  Nawasilisha...

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
Loading...