Jibu maarufu la Serikali bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jibu maarufu la Serikali bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SubiriJibu, Jun 29, 2012.

 1. S

  SubiriJibu JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 1,124
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  Kwa wale wenye kutarajia kuwa mawaziri basi jiandae kuwa mwepesi wa kutoa jibu hili jambo lolote ambalo huna majibu nalo:

  {...."Jambo hili tumelisikia, linatugusa, tunalitafakari, tutapatia ufumbuzi"....}.

  Wala usiumize kichwa, jibu hivi songa mbele.
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Comrade itategemea lakini kwa mawaziri makini wa CDM watakapo chukua nchi wananchi wasitegemee kupatiwa majibu haya ya kilabuni
   
 3. M

  Masabaja Senior Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hao ni mawaziri wa MAGAMBA
   
 4. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Zaidi:

  "Tuna mkakati kabambe..."
   
 5. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Majibu kama haya anayapenda sana PM.
   
 6. N

  Njaare JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jambo hili liko kwenye mchakato, na haya mengine yanazungumzika.
   
 7. b

  bdo JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,712
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  ".....mpango mkakati umekamilika, sasa serikali inafanya mazungumzo na wafadhili, tunaomba wananchi wavute subira..."
   
 8. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wee!Labda wasiwe wameuliza swali na majembe.mfano "mhe waziri kwakua umetumia kila lililo ndani ya uwezo wako ktk kutatua mgogoro wa madaktar na serikali lakini bado umeonekana kushindwa hasa pale ulipotamka kuwa 'liwalo na liwe'na hadi kufikia tukio la kinyama lilomkuta Dr Ulimboka,Je huoni kuwa wakati umefika wa wewe kuchukua maamuzi magumu ya kujiuzulu nyazifa ya uwaziri mkuu?"
   
 9. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,537
  Likes Received: 10,457
  Trophy Points: 280
  "mchakato umeshafanyika... tupo kwenye upembuzi yakinifu"
   
 10. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Mh Lisu nakuheshimu..
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  na lipo kwenye mchakato....
   
 12. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  "Huu ni Upepo tu utapita"
  "Tumesikia malalamiko ya Wananchi, tunayafanyia kazi"
  "Tumeunda tume,uchunguzi utakapokamilika serikali itatoa tamko"
   
 13. john tongo

  john tongo JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tuko kwenye upembuzi yakinifu
   
 14. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  serikali ni sikivu na ahadi za chama cha mapinduzi zinatekelezeka.
   
 15. john tongo

  john tongo JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tunajadiliana na timu ya wataalamu wetu
   
 16. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tumejitahidi ila kunachangamoto nyingi.
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Taarifa hii ndio tunaipata, tutaifanyia kazi na tutakuja na majibu.
   
 18. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  "Hili jambo hata sisi linatunyima usingizi sana"
   
 19. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #19
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  pia tupo katika mchakato na upembuzi yakinifu ili tasnia hii iwe kipaumbele chetu kama taifa.
   
 20. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #20
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  umetisha mkuu
   
Loading...