Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna maswali mengi nyuma ya kiinimacho kilichotangazwa na kamanda Kova juu ya utekaji wa dr Ulimboka. kati ya mengi, Maswali yafuatayo yana wafanya Tanzania wasiamini taarifa ya jeshi la polisi...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Jimboni kwako yametokea maafa yaliyosababishwa na vurugu za kisiasa, tupe kauli yako tafadhali, njoo hapa jamvini tujadili!!! Poleni wanairamba magharibi kwa msiba uliwafika. RIP marehem.
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Kutokana na kutoa taarifa za uongo zinazoendelea kulichafua jeshi la pilisi pamoja na serikali, Its time now viongozi hawa wawajibike kama kweli hawako pale kisiasa. They must respect the Police...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Waziri nchimbi ni mmoja wa mawaziri kati ya viongozi Mh Tundu lissu aliowataja wamepewa vyeo kwa kwa kubebwa.Amekuwa dhaifu kutoa maamuzi hata yalio wazi kuna wakenya anatony ngoo na mwanaye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati wenzetu Cuf walipokuwa wakisema Jeshi la Polisi lifanyiwe marekebisho, wanasiasa watz walikuwa bizz. Vyombo vya habari vyetu vilifikia hata kuwakejeli na kusema hizo nido siasa zao. Wakati...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Activists call for more measured response to Tanzanian doctors' strike BMJ 2012; 345 doi: 10.1136/bmj.e4698 (Published 10 July 2012) Cite this as: BMJ 2012;345:e4698 Author Affiliations...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Imezoeleka sana Bodi nyingi wakurugenzi wake ni Wastaafu. Sasa hii ni kwamba ndo wana sifa za kufanya hiyo kazi kuliko wengine? Ni kupeana Ulaji/Kubebana? Lazima Bodi ya wakurigenzi wawe wazee?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wananchi wa wilaya ya Muheza Tanga wameiomba Tume ya Warioba kuwa,Wabunge WANAOSINZIA BUNGENI wapewe adhabu zifuatazo:- Kuchapwa viboko 3 - Kumwagiwa maji ya baridi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sunday, 15 July 2012 10:37 Waandishi Wetu SERIKALI ya Kenya imesema inazifanyia kazi taarifa za raia wake kukamatwa na kufikishwa kortini nchini kwa tuhuma za kumteka na kufanya jaribio...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nilisikia watoto wadogo si ruksa kushiriki siasa, sasa inanishangaza hapa wakati wa mapokezi ya NAPE huko Rukwa. Tazama picha hii kwa mujibu wa MICHUZI Blog.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Closed
Matukio mfululizo ya kuchomewa makanisa na udhalilishaji mwingine wa idara za serikali kwa makanisa kunanini?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jf mmeona kwenye Daily News ya tarehe 13 Julai 2012 kuwa PPRA imeipiga marufuku kampuni ya Chinese Communication Construction Company (CCCC) kupewa mradi wowote hapa nchini kwa kipindi cha...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Picha hii imewanasa wanaosemekana kuwa MARAFIKI wakubwa katika historia ya siasa za Tanzania. Hapa jinsi walivyokaa ni kama kila mtu yuko kivyake! Any way wamekutana London na wanakumbushia enzi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
NIDA Imevunja Katiba ya Nchi Mamlaka ya Vitambulisho Nchini Tanzania (NIDA) yamekiuka Katiba ya Nchi. NIDAimeundaa mfumo wa kukusanya taarifa za wakaazi nje ya mfumo rasmi wa serikaliuliowekwa na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Tumekuwa tukishuhudia matukio kadha wa kadha ambayo ama yamesababisha vifo au majeruhi au uharibifu wa mali za watu au umma! Nafikir muda umefika kwa hivi vyama hasimu kuafikiana na kufanya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dr. Asha-Rose Migiro, former Deputy Secretary General of UN nina maswali machache juu yako. Baada ya kusikia kwenye vyombo vya habari kuwa sasa umerudi nyumbani ukidai ili kulitumikia taifa...
0 Reactions
53 Replies
10K Views
Kwa kuwa wewe ni Kiongozi wa Juu katika nchi hii, na kwakuwa wewe si Kiongozi wa Juu kabisa ktk nchi, na kwakuwa wewe kwa kutumia madaraka na mamlaka uliyopewa ulishindwa kuuzuia mgomo wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni jambo la kusikitisha katika karne hii ya 21 kuona kijiji bado hakina shule ya msingi,wanafunzi bado wanasafiri kilomita 8 kwenda shule za msingi za vijiji vya jirani(NAMALAMA,MWITENDE).hebu...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
  • Closed
Ukumbi wa Gwajima unatarajiwa kufurika watazamaji wa movie kali ya silly season part 2 inayo tarajiwa kuruka hewani muda wowote katika kipindi cha masaa kadhaa yajayo. Miongoni mwa Sterling...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo saa saba kamili timu chadema itatua kinampanda hivi sasa shamramra zaendelea kuusubiri ugeni mzito bendera zapepea juu ya mzambarau tutakuwa tunawaletea habari kwani tuko ndani ya kinampanda
5 Reactions
75 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…