Mambo yamewekwa wazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo yamewekwa wazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sakabona, Jul 9, 2012.

 1. S

  Sakabona New Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salaam kwa wote,

  Tundu Lisu ameweka mambo waizi.Siri zote ziliokuwa zikisemwa semwa mitaani ameweza kuzitaja hadharani tenda ndani ya bunge la Tanzania.Huko nyumba tulikuwa tukisikia tu kutoka kwa wazee wetu kwanba kuna watu walitiwa ndani baada ya mapinduzi na hawakuonekana tena maishani kama kina Kassim Hanga na wenziwe.Haya hayajawahi kusimuliwa kwenye vyombo vya serikali kama bungeni.Nani aliyatarajia kwamba kuna siku bungeni kutatajwa mauaji yaliyofanywa na serikali?

  Hakuna hata mmoja wetu.Na pia kuuliwa kwa Karume kiongozi aliye unganisha nchi mbili hizi kaambiwa kuwa pia kauliwa.Hiyo hatuoni haja ya watu kuhoji sasa na kuchunguza tuhuma hizo nzito zinayoihusu Serikali? Iweje zitolewe tuhuma nzito kama hizo ndani ya bunge na serikali ikae kimya? Waandishi wa habari na wanasheria wako wapo kuhoji na kudadisi mauaji haya? au hayajawafurahisha haya? Kama wanatafuta habari za kuandika basi waanze kuhoji tuhuma hizi kwa walio husika.Na pia kesi ifunguliwe mahakamani na waliohusika wafikishwe mahakamani kama wapo waliobaki bado.Serikali lazima itoe tamko lake kama tuhuma hizo si za kweli. Venginevyo kukaa kimya ni kukubali yaliosemwa.

  Nampongeza Mheshimiwa Tundu Lissu kwa kuweka mambo hadharani kwani wengi walikuwa hawafahamu nini kimetokea tangu kuundwa kwa Muungano huu ambao unalazimishwa uwepo hata kwa kutoa roho za watu.. Tumeona faida za Muungano kwamba damu zimemwagika ili kuunusuru hata kwa yule kiongozi muasisi nae pia katolewa mhanga.Haya yote ya nini? Kama watu hwataki kwanini walazimishwe? kuna ajenda gani ya siri hapa? Waandishi wako wapi wakuandika haya? Tundu Lissu kishafungua njia ya watu kuhoji kulikoni? Serikali itwanbie.Wabunge na Wawakilishi wetu kuna haja ya kufuatilia kilichosemwa bungeni na kukifanyia kazi la sivyo roho za watu zitaendelea kutoweka kwa JINAMIZI hili la Muungano.

  TUNATAKA KUONA MAGAZETI YAHOJI MADAI HAYA YALIOTOLEWA NA TUNDU LISSU KTK BUNGE.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Huwa napenda sana kusoma makala za Joseph Kuhangwa. Zina mambo
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Hilo ndio jembe!
   
 4. s

  slufay JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tundu si mnafiki; watz wa aina wanahesabika na ni wachache sana;;;;;;;;; huwa harembi lugha# bi úuuuuuup jembe...... itabidi tumtafutie ulinzi wasije wakamdhuru
   
 5. D

  Dabudee Senior Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hajatengewa eneo pale kwenye msitu wetu wa kusawazisha mambo?
   
 6. a

  afwe JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Anastahili Big up!
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Sijui hawa washauri wa wakubwa wakoje,na hao waopokea ushauri huo hawaupimi au?serikali inafanya kama inatatua matatizo kumbe ndo inayaongeza
   
 8. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hakuambiwa apeleke ushahidi?
   
 9. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ile speach inaingia katika recodi sahihi za Tanganyika.
   
 10. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 653
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Big up jembe tundu lisu!
   
 11. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  baada ya hapa utamsikia lisu kaokotwa msitu wa pande......
   
 12. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #12
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kila kitu tume hii nchi itakuwa na tume ngapi?
   
 13. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Toto Tundu haliachi kuvunja vikombe na kupigwa na wazazi
   
 14. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #14
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  msitu wa ujasiri ukitoka salama wewe utakuwa Tundu Lusu waulize wazanzibar maana ya Tundu Lusu
   
 15. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #15
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  Tuache mzaha kwenye mambo yanayohatarisha amani ya nchi.

  Tundu Lisu ni mwanasheria kwa nini hachunguzi na kutupa majibu.

  Ukiwa hadi mwanasheria analalamika basi nchi inakwenda pabaya je raia wa kawiada atafanya nini?
   
 16. S

  Sakabona New Member

  #16
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :alien::alien:
   
 17. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #17
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,789
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  hilo litakuwa tangazo la vita
   
 18. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #18
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Usalama wa Taifa wanatumia vijineno eti "ilikuwa ni kwa maslahi ya Taifa"
   
 19. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #19
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  yaani ile Hotuba ya Tundu Lissu lime print na kuigawa kwa wanzanzibar kama 28 hivi na wameniona mimi bonge la Shujaa mpaka na mimi wananiita Mwana Uamsho, ile hotuba ilikuwa na nondo kali
   
 20. L

  Liky Senior Member

  #20
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 194
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  We unataka afanye nini?hebu toa maoni yako
   
Loading...