KUNA Kundi la wawekezaji wanaodhamini uhalifu kuondoa amani Tanzania

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Chanzo cha ndani kabisa kwenye mambo ya usalama wa kimataifa kimenipatia taarifa kuwa kuna syndicate iliyopo tanzania ambao walishiriki katika kumpa sumu mwakyembe wakiwa na lengo la kuleta machafuko lakini jaribio likashindwa pale serikali ilipoweka mamia ya. Million kuokoa maisha ya mbunge huyo.

Baada ya kushindwa kwa jaribio hilo na la kumuua dr wilbroad slaa Mwanza pale alipowekewa chemical za kuteleza bafuni lakini jaribio likashindwa.

Ikabidi atafutwe mtu atakaye leta hamasa kwenye jamii na kuchochea machafuko dar es salaam kwani ndio eneo strategic kwa kuanzisha machafuko ambayo yataleta mazingira ya kutekeleza matakwayao ikiwa ni pamoja na kusaliti amri ya amiri jeshi mkuu wakati wa kuzima machafuko hayo na jeshi kuasi.

Hapo ndipo Dr stephen ulimboka alipoonekana kuwa angeweza kuwa chachu ya kuchochea hali hiyo lakini haikufanikiwa.

Katika hali hiyo ya kushindwa kukamilisha matakwa yao aliingizwa gaidi la kukodiwa kutoka ugermany ambao wengi tunajua nini kilimpata.

Sasa hivi kuna mkakati wa kumtafuta mtu ambaye anakubalika sana katika jamii ya wadarisalama ili kufikia adhima hiyo.

Katika hali hii kama mwanaharakati na mtanzania nawaomba viongozi wa siasa na kidini kutokukaa maeneo hatarishi kwa utekelezaji wa adhima hii mbaya ya kuondoA lulu yetu ya amani.

Tumechonganishwa na UWT, tumechonganishwa na Rais Tumechonganishwa kwa dini, Tumechonganishwa kwa kanda lakini sasa wabaya wetu wanaenda jeshini. Tuzidi kumuomba Mungu na kuwaumbua wale wote wanaokusudia mabaya kwenye nchi yetu.

Kama mwanaharakatihuru nasema nyie kikundi amani ikitoweka hamtasalimika pia.

UWT anzieni kwa mwakyembe na ripoti yake Ulimboka na tuhuma hizi mpya za Chadema hao ninao wasema wako nyuma ya hayo.

Mchwa akipanda kwenye jembe kinachotafutwa ni mpini na sio jembe. Kichwa ndio kinatfutwa.

JK anaweza akawa na mapungufu na bali yeye sio Gaidi namtetea kikundi kipo kinachotaka kumchafua kwa mapandikizi yao UWT.

Mheshimiwa fumua UWT mapema hiki kikundi kitapatikana
 
Badala ya Ikulu yetu kujitokeza na vision murua ya namna gani ya kuongeza ajira, kurudisha fedha za wizi toka Uswisi na kuzuia UFISADI ZAIDI hivi sasa ni kwamba majungu kama haya hapo juu ndio yanaendelea kunywewa kahawa asubuhi hadi jioni. Kerooo!!!!!!!!!!
 
sasa jiulize uwt wako wapi mpaka haya yote yanatokea.yaani mpaka weweunawajua hawa wabaya wataifa hili lakini serikali imewaacha wafanye wayafanyayo!
 
Hata mimi nililiona hili la kuufumua usalama wa Taifa ,na linawezekana ikiwa Mheshimiwa Raisi Jakaya hahusiki na haelewi kinachoendelea kwa msemo mwengine anakuwa kama anashitukia tu mambo yanatokea tokea ,hajui kinachoendelea ,mihimu ni kuchangua kikamilifu na hawa maraisi waliostaafu kwa nini wanashiriki katika mambo ya kiserikali ,wanavyoshiriki wao hatuoni huko kwenye nchi zilizoendelea.
 
Mwanaharakatihuru umejitahidi sana kuileta hii taarifa muhimu humu jamvini.
Lakini ninasikitika kutofautiana nawe kwa sababu zifuatazo ambazo kwangu mimi na si kwako wewe naziona ni za msingi.

a) Hakuna mwekezaji mwenye akili timamu anayekwenda kuchuma katika nchi kama TZ aanzishe machafuko ili nchi isitawalike. Na isipotawalika atachumaje?!!!
b) Haiwezekani pamoja na mapungufu yao yote TISS wasiwe na taarifa nyeti kama hiyo eti ikufikie kwanza wewe, labda useme wewe ni mmoja wa viongozi wa juu wa TISS. Hata hivyo hoja ya kwanza inakataa kuamini kwamba wewe uko TISS.
c) Haiingii akilini kwamba ati jasusi (hata uchwara) anaweza kupanga njama za kumuua Dr Slaa kwa kuweka utelezi bafuni ili akiteleza aanguke na kufa?!!! Ni utoto.

Kwa ufupi umejitahidi kujaribu kupangilia hoja yako lakini nasikitika kusema, kwangu mimi haina mantiki.
 
Last edited by a moderator:
Mwaka huu CCM na serikali yake itajisafisha sana lakini haitatakata. Kikwete ndiye Kamanda wa genge la wauaji!!!
 
Mwanaharakatihuru umejitahidi sana kuileta hii taarifa muhimu humu jamvini.
Lakini ninasikitika kutofautiana nawe kwa sababu zifuatazo ambazo kwangu mimi na si kwako wewe naziona ni za msingi.

a) Hakuna mwekezaji mwenye akili timamu anayekwenda kuchuma katika nchi kama TZ aanzishe machafuko ili nchi isitawalike. Na isipotawalika atachumaje?!!!
b) Haiwezekani pamoja na mapungufu yao yote TISS wasiwe na taarifa nyeti kama hiyo eti ikufikie kwanza wewe, labda useme wewe ni mmoja wa viongozi wa juu wa TISS. Hata hivyo hoja ya kwanza inakataa kuamini kwamba wewe uko TISS.
c) Haiingii akilini kwamba ati jasusi (hata uchwara) anaweza kupanga njama za kumuua Dr Slaa kwa kuweka utelezi bafuni ili akiteleza aanguke na kufa?!!! Ni utoto.

Kwa ufupi umejitahidi kujaribu kupangilia hoja yako lakini nasikitika kusema, kwangu mimi haina mantiki.
(A)Mwekezaji anaweza akawa wa ndani na nje na kuhusu uwezekano wa kuhujumu amani ni mkbwa kwani mpaka leo wanadaiwa kodi na uwezekano ni mkubwa chadema kuingia madarakani
(B)hivi hujajiuliza mbona aliyempa sumu mwakyembe na aliyempiga ulimboka hajakamatwa? Hujajiuliza deo filikunjombe anahisi nani anataka kumuua? Tanzania zaidi ya uijuavyo nani ameshatakiwa kwa tuhuma za kumuua baba wa taifa?

(C)mapango ulikuwa wa kukamilisha kwenye ambulance sema haukufanikiwa ni sawa na kwanini dr mwakyembe kapewa sumu hakufa na kwanini dr ulimboka hakufa? Ndio maana hata kwenye waraka wa mwakyembe ameonyesha kulikuwa kuna haja ya kuleta mtaalam kutoka nnje na tarajia kwa sasa straight sniper killings
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom