Pesa za Msaada za maji kutoka kwa Sabodo kwa ajili ya Namanyere zimeliwa na wakubwa : Mbuge Kessy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pesa za Msaada za maji kutoka kwa Sabodo kwa ajili ya Namanyere zimeliwa na wakubwa : Mbuge Kessy

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ikwanja, Jul 9, 2012.

 1. Ikwanja

  Ikwanja JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Katika hali ya kusikitisha kumbe Mzee Sabodo alitoa msaada kwa CCM huko namanyere kwa ajili ya maji lakini zote zimeliwa. Hiyo ni kwa mujibu wa Mbunge wa namanyere huko sumbawanga

  amewaponda wabunge wanaojikomba
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  pesa kuliwa mbona ni jambo la kawaida bongo?
   
 3. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,278
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  haya watetezi wa ccm mpo wapi?
   
 4. G

  GUDIGUDI Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya ndiyo yanayokimaliza chama. Watajwe hawa mafisadi.
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kuwa Mkweli, hakusema hivyo nilikuwa nasikiliza bunge. Alisema mbona tunaona misaada ya Sabodo mnagawana hukohuko tu huku kwetu haifiki?

  Hiyo haimaanishi kuwa ulitolewa msaada kwenda Namanyere.
   
 6. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Ww ndiyo umandika nini?
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 764
  Trophy Points: 280
  Huu ni upotoshaji wa makusudi, mbunge hakusema hayo ila kama itakusaidia taarifa ni kuwa uchimbaji wa visima vya Sabodo unasimamiwa na kamati aliyoiunda Sabodo mwenyewe na hakuna mfanyakazi wa serikali kwenye hii kamati. Maombi ya visima huelekezwa kwa kamati hii na kuanzia uchunguzi hadi uchimbaji hakuna pesa inayotolewa kwa serikali.
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mjulishe huyo. Mwambie awaulize wakuu wake wa chadema wanajuwa utaratibu wa huyu Mzee.

  Ukiona kuna Mbunge au waziri kapewa msaada wa Sabodo jimboni kwake ni kwa jitihada za huyo mbunge au waziri au Mzee Sabodo mwenyewe kapenda.
   
 9. Msolopagazi

  Msolopagazi JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 659
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Hivi mpaka leo ni visima vingapi vimechimbwa hapa bongo tunaona ahadi tu utekelezaji hatuambiwi au ndiyo vipo kwenye upembuzi yakinifu
   
 10. U

  Udaa JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 727
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wewe unaonaje mnapoponda hata msaada uliolengwa moja kwa moja kwa wananchi,hivi hamjishtukii.
   
 11. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 874
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 60
  kimsingi kaomba wabunge wote wasiunge bajeti hiyo sababu karibu TANZANIA nzima haina maji, lakini je takwimu za magembe pale jangwani, mbona alisema 50% ya watu waishio vijijini wanapata maji na mijini 75%, hizo takwimu alizipata wapi?kimsingi 75% wabunge waliochangia wamelalamikia tatizo la maji katika majimbo yao nakutokuunga mkono bajeti hii.Mpaka naibu spika naye kalalamika hivyohovyo.Hii ni kuthibitisha kuwa takwimu za maghembe si za kweli.Ni blabla na propaganda za ghiriba ya kisiasa.

   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Soma kichwa cha habari. Hayo yako sasa ni mengine unayaanzisha.
   
Loading...