Dah..Uongozi kwa style hii sio Tanzania... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dah..Uongozi kwa style hii sio Tanzania...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by security guard, Jul 6, 2012.

 1. s

  security guard JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 80
  Naamka asubuhi nasikia kelele za walioishiwa na uwezo wa kufikiria...oh serikali inahusika...baada ya kusikiliza kwa makini nikajua yule mhusika na kifo cha ndugu yangu amepigwa na watu wasiojulikana....Nikasema na moyo wangu kweli ubaya unalipwa hapa hapa duniani...nina bahati ya kuwa na marafiki madaktari lakini nimepunguza mapenzi na hawa jamaa hata simu huwa siwapigii tena....

  Kitu kimoja watu wasiochokijua ni jinsi gani watu fulani wanatumia mbinu chafu kuivuruga serikali yenye nia ya kuongeza maendeleo.
  huyu dk. kwake Kiskulu ana duka kubwa sana la dawa na akaunti yake ina pesa nyingi sana kuliko kawaida na pia madai yake ya kutetea madaktari wa serikali ili masikini tufe haikuwa na mahesabu mazuri........

  Maadili ya utaalamu wao hayapaswi kuvunjwa kwa kisingizio cha migomo nafikiri ingekuwa vyema wangetumia chombo mbadala kufikisha malalamiko yao..kwanza sio media iliyovurunda ....kuna wakati Mkapa alisema waandishi wa Tanzania hawajui kazi yao nakubaliana nae kabisa....

  Madaktari wangeongea na mabosi wao kwanza ambao ni Wananchi wa jamhuri ya Tanzania na kuomba ushirikiano wa wananchi katika kulizungumzia hili na sio kuleta zengwe, ila wao wakaona wamchukue mwehu mmoja awaongoze kutuua ....haswa wakitaka waongezewe pesa wananunue magari zaidi na kushinda leaders baada ya kazi.....


  Nasema hivi mkirudia mgomo hamgomei serikali mnatugomea sisi na hiko chama kinachowapotosha kinashangaza sana kilipaswa kikae na wananchi wazungumze namna nzuri ya kutatua matatizo huku madaktari wakiendelea na kazi zao, sasa kimekosa kauli, kimeonekana kabisa ni chama cha majimbo ukabila, udini na mbaya ni cha kutuua sisi sisi watanzania.....

  poleni hamtopata kura na pia hamtaongoza ........
   

  Attached Files:

 2. N

  Njaa Mbaya JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 667
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hii imenchefua mpaka nimeshindwa kula, sina hakika kama ulifikiria wakati unaandika, lakini kama ndiyo inakupa kula yako kwa propaganda ni sawa utafanyaje sasa maana Nape anataka kuona unafanya kazi.
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kuna wagonjwa wa aina nyingi duniani.
   
 4. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Naona unajitahidi kusajiri ID tofauti tofauti na kuweka posti
  halafu unazi-like mwenyewe. Hongera sana...
   
 5. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ah! Mleta mada ni Jembe la Ukweli!
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Sijui kwanini nimefungua huu uchafu najisikia kutapika
   
 7. 4

  4change JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 535
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  verbal diarrhoea!what else can i call this?
  Hivi ndo maana nchi ina utajiri mwiiingi lakini inaongoza kwa umaskini na ni ya tatu dunia kwa ombaomba baada ya afghanistani na iraq!what a shame.si ajabu ukakuta huyu 's.g' ni mshauri wa rais, say kwenye uchumi au siasa!au kiongozi anategemewa na ccm.masikini tz masikini nchi yangu where is this schizophrenic gvt and its allies taking u to?!?
   
 8. F

  Froida JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Pole mwenzetu kuna siku utajitambua
   
 9. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ww ****** katafute bwana kama una nyege sio unaleta pumba hapa
   
 10. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  nimekutukana tu baasi
   
 11. miss strong

  miss strong JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 7,027
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Ujumbe hovyo...Nchi ni yetu wote haiwezekan rasilimal za nchi ziliwe na wajanja wachache na walimu,Madaktar wanapata shida!Upumbavu wa ccm ndo unatufikisha hapa...Tutaonana uchaguz ujao.
   
 12. n

  nhassall Senior Member

  #12
  Jul 6, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hizi posho za propaganda jamani zinawamaliza akili, sasa ni kitu gani hapo umeandika na ni nani atakuelewa kwa mawazo mabovu kama haya? sidhani kama una ushirikiano na akili yako maana umepoteza mda wako kuandika upuuzi kama huu.
   
 13. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  CCM na propaganda zenu mwaka huu mmepatikana!! Serikali Dhaifu ndio kiini cha matatizo yote! Sasa iwapo umetumwa kuja hapa kupima upepo, rudi ukawaeleze kwamba hapa umekosa support!!
   
 14. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Hallucination will kill you very soon! please consult a spcecialist for proper treatment, otherwise a grave is calling you, bastard!!!.
   
 15. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #15
  Jul 6, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Gwalihenzi achana na huyo kichaa...as Mark Twain would put it...Never argue with stupid people, they will drag you down to their level and then beat you with their experience.

  security guard, free your mind and think, I know we live in a world of smart phones and stupid people but, OMG! the level of stupidity you exhibit here is astounding! The reaction of our CCM government is like that of a student who when a teacher passes by during a test, covers his answers with his hand so the teacher cannot see how stupid he is! To the opposition I have but one advice... never ever understimate the power of stupid people in large groups especially if they all somehow share some evil ideology like UFISADI.
   
 16. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #16
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  kama ni ugonjwa wa akili ndugu yangu huu wa kwako bado haujulikani..kwani ni dhambi ukitumia akili yako kufikiri?
   
 17. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #17
  Jul 6, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  sucks to be you
   
 18. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #18
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  nashangaa mods wanaacha hili gono humu
   
 19. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #19
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mleta mada hii nafkiri hana akili kabisa na naona kazi yake hapo magamba ni kupumuliwa na wakubwa wake tu manake najuta kuifunguwa hii thread
   
 20. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #20
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,480
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu umechemka watanzania wa leo hawadanganyiki pooooooleeee sana. Utafute mwimbo wa Mlisho Mpoto wa ADELA Sikiliza utapata jibu nyang'au we.
   
Loading...