Ahmed shabiby (mb gairo) amlipua mkuregenzi morowasa bungeni,..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ahmed shabiby (mb gairo) amlipua mkuregenzi morowasa bungeni,..!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tanzaniaist, Jul 9, 2012.

 1. T

  Tanzaniaist Senior Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Katika hali isiyo ya kawaida mbunge machachari,kijana na mjasiriamali maarufu..,Ahmed Shabiby (mbunge wa gairo) amemlipua mkurugenzi wa shirika la maji mkoani morogoro..! huku akitoa tuhuma nzito kuhusu kustaafu kwake lakini bado anaongezewa muda wa kufanya kazi, wakati akihoji amestaafu kwa sheria sababu ya umri..! wakati kukiwa na wataalamu kibao kuhusu masuala ya maji yeye bado anaongezewa mkataba..,pia amemsihi waziri Maghembe kuhahakikisha Huyo mkurugenzi asiendelee kuongezewa tena mkataba kwakuwa unaisha mwezi huu huku akiohofia kwa kuwa ni KABILA moja (wapare) anaweza kumlinda...,sababu kubwa ya Mh.Shabiby kumlalamikia mkurugenzi huyo wa MOROWASA Mkoani morogoro ni kwakuwa amekuwa mkurugenzi kwa muda mrefu huku bado kukiwa na tatizo kubwa sana la MAJI morogoro ukizingatiwa morogoro ina mito mingi na vyanzo vingi vya maji kana mkurugenzi huyo ameshindwa kutimiza wajibu wake...! wana morogoro mpoooooo napenda kuwasilisha
   
 2. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,291
  Likes Received: 1,214
  Trophy Points: 280
  heee,hadi shabiby ameamua kufunguka ama kweli!....moro kazi kwenu!
   
Loading...