CHEYO: CCM mnampa mtu utamu ukianza kukolea mnasema 'hatufanyi tena'

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
hayo ni maneno ya john momose cheyo,na wabunge wa ccm walivyowatupu vichwani wanashangilia tu
 
hata mimi nimemsikiliza nikashangaa huu mfano aliotoa,nilidhani amekuwa mzee amesahau mifano yenye utukutu!
 
"Inakuaje pale unapofikia utamu alafu uancha kufanya"

Aliyasema hayo wakati anachangia bajeti ya ujenzi haliilipelekea wabunge kucheka bila kuelewa walikuwa anamaanisha nini.

Huyu mzee naona anazeeka vibaya.
 
Akichangia hoja ya Wizara ya Magufuli na akitetea kukatizwa kwa huduma za ujenzi wa barabara jimboni kwake alisema
"....... Ni sawa sawa na mtu anakuonjesha utamu halafu anasema 'sifanyi tena!'........"
 
hayo ni maneno ya john momose cheyo,na wabunge wa ccm walivyowatupu vichwani wanashangilia tu

safi saaana now naona watanzania wengi haswaaa vijana wanamwamko mkubwa wa kuangalia bunge ili kujua mambo yanavyokwenda na pia nimeona siku hizi tabia ya watanzania wengine kupenda kusoma magazeti ili kujihabarisha zaidi na kukuza maarifa yetu..

Saaaafi sote tukimpinga adui ujinga na uvivu tanzania ya maendeleo itaonekana tuuuuuuuu!!!
 
Ndio wabunge wetu hao tuliowachagua. Mkosamali naye amenishangaza kwa kusema kuwa wahandisi huko kibondo hawachongi barabara kwa mita 32 kama sheria inavyosema! Barabara ya mita 32 sijui ikoje hiyo tena vijijini!
 
mzee mhuni sana huyu,
kama mnabisha njoeni 84 Club mumuone anavyobambia totozz huwezi amini
 
Tumekuwa wepesi sana kupotosha maneno ya kiswahili. Sasa hapo kosa la Cheyo ni nini? Tatizo letu huwa tunafikiria sana upuuzi. Maneno ya Cheyo hayana kosa lolote.
 
huyu mzee alitukuta tukipata kinywaji pale area c kwa merei akatuambia leo hamuingizi timu 84?tukamjibu tumefulia akatuambia hatupi usafiri ila kila atakayeenda bili juu yake.ebanaee huyu mzee hafai.
 
mzee mhuni sana huyu,
kama mnabisha njoeni 84 Club mumuone anavyobambia totozz huwezi amini
Ndo zake,
totoz zinamnyaka,
akionekana wanacrowd kwake wanamshikashika, anachezeachezea mewata then anawafungulia wallet
 
Jamani km mtu hana mada ya kuanzisha ni bora ukaa kimya. Cheyo alimaanisha kuwa serikali ya ccm inaanzisha miradi ya barabara, inaanza kujenga na ikifikia stage wananchi wanaanza wanakuona/kufeel kuwa sasa wanaondokana na adha wanasimama ujenzi. Sasa ubaya upo wapi ?
 
huyu mzee alitukuta tukipata kinywaji pale area c kwa merei akatuambia leo hamuingizi timu 84?tukamjibu tumefulia akatuambia hatupi usafiri ila kila atakayeenda bili juu yake.ebanaee huyu mzee hafai.
aaah we mpwa kumbe unamjua!, huyu mzee MCHAFU hafai mi nilipomuona 84 Club asee sikuamini kama ndio mzee wa kuwajaza watu mapesa!, nahisi aliruka steji hii akiwa kijana. matokeo yake anapenda sana chini na uzee wake
 
Jaribuni kuyatafakari maneno yake kulingana na mjadala husika tutapata maana nzuri!.
Wabunge kucheka msishangae si mlishaambiwa mle bungeni kuna wapuuzi wengi!. Kila mara wanawaza UPUUUUUUUUZi tu!.
 
Back
Top Bottom