Ni lini tutapata majibu ya maswali haya ndpo tuendelee kutizama muvi hi mpya ya dr.nchimbi

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Bado tuna vitendawili vingi havijateguliwa,lakini bado tunaendelea kutegwa,ni lini sasa tutapata majibu angalau robo tatu ya maswli tuliyokwishauliza kabla ya kuendelea na hii muvi mpya ya DR.NCHIMBI?.ni lini serikali hii itaacha kutugeuza sisi wananchi wajinga?na je? ni lini sisi wananchi tutaseMa basi ,yatosha???????????
 
Back
Top Bottom