Wabunge wa CCM wanapounga mkono hoja

Wabunge wa CCM wanapounga mkono hoja

Taso

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2010
Posts
2,517
Reaction score
2,439
Mwigulu Nchemba (CCM, Iramba Magharibi)

"Nimeuza VX langu ili kuchimba visima Iramba."

"Wanawake wanatoka saa mbili usiku kwenda kuchota maji, wanarudi saa kumi, ili kukwepa joto."

"Mabwawa ya maji yaliyochimbwa yamejaa mchanga."

"Hata mashine za ku pump na mkono zinatushinda Mheshimiwa Waziri?"

"Naunga mkono hoja."
 
Huyu jamaa huwa namdharau sana, lakini kwa kauli yake ya kuunga mkono hoja baada ya kutoa malalamiko yale yote nimeacha kabisa kumdharau, nimemweka kwenye kundi la wafu yaani nimemfuta miongoni mwa watu wanaoishi duniani maana ameshakufa ubongo.
 
Bunge LEGELEGE....
Serikali DAIFU....
Rais DHAIFU....
CCM...
 
Mwigulu Nchemba (CCM, Iramba Magharibi)

"Nimeuza VX langu ili kuchimba visima Iramba."

"Wanawake wanatoka saa mbili usiku kwenda kuchota maji, wanarudi saa kumi, ili kukwepa joto."
jiulize na pesa za mfuko wa jimbo huwa anapeleka wapi?
Huyyu jamaa ashajistukia watu wanampuuza so anatafuta namna ya kujiweka pazuri wakati jua lishazama.

"Mabwawa ya maji yaliyochimbwa yamejaa mchanga."

"Hata mashine za ku pump na mkono zinatushinda Mheshimiwa Waziri?"

"Naunga mkono hoja."

Na pesa za mfuko wa jimbo huwa anafanyia nini? kama si kujitafitia umaarufu usio na tija, akawadanganye wapuuzi wenzake werevu tushamstukia.
 
akitaka kuendelea kuwa mbunge jimboni kwake lazima aongee vizuri ili watu wake wamuuone
 
Wanakuwa wanafiki!!.

Huyu mweka hazina wa ccm hawezi kupinga hoja ya serikali ya chama chake ila ninafiki kwa kua anajua serikali yake haitafanya mambo aliyosema anataka wafanye. Namuunga mkono yule mbunge wa jana aliyesema wananchi waangalie na kusikiliza kwa makini mbunge yoyote atakayeipitisha hii hoja wakati jimbo lao halina maji wasichaguliwe tena kua wabunge na huyu ni mbunge wa ccm aliyesema hivi
 
Ninapolisikia jina hili yaani ninahisi kutapika,nasikia harufu ya chemba inayonuka mavi!!!Huyu jamaa ni ma....v....!!!
 
Nimefurahi kwasababu amekiri kuwa ,kununua mashangingi ni ubadhirifu wa fedha ,ambao unasababisha watu wakose mahitaji muhimu kama vile maji,umeme,matibabu n.k n.k
 
Back
Top Bottom