Magazeti ya udaku na ubabaishaji wa kisaikolojia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magazeti ya udaku na ubabaishaji wa kisaikolojia

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MWANA WA UFALME, Jul 7, 2012.

 1. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HII HABARI NILIYOISOMA KWENYE GAZETI LA GLOBAL NAONA IMEKAA KISIASA ZAIDI NA INAJARIBU KUUHADAA UMMA KWAMBA YALIYOMPATA DR. NI KIKUNDI BINAFSI KINACHOFANYA KAZI NA KITAENDELEA KWA WENGINE.

  HABARI HII IMEKAA KUCHEZEA FIKRA ZA WATU ILI WAAMINI KWAMBA HATA MAOVU MENGINE YAKITOKEA BASI KIPO KIKUNDI TU FULANI

  I MEAN FOR WHOSE INTEREST?

  BONYEZA HAPA KWA HABARI ZAIDI
  KUTEKWA, KUSULUBIWA DK. ULIMBOKA: MAZITO YAIBUKA - Global Publishers
   
 2. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,203
  Likes Received: 1,332
  Trophy Points: 280
  mwanachama hai wa CCM
  aligombea nafasi ya kutaka kupewa ridhaa ya kuteuliwa kugombea Ubunge akakosa
  anasadikiwa kushirikiana na mtoto
  wa rais kufanya biashara
  ni mwandishi mzuri wa hadithi
  mmiliki wa magaxeti pendwa

  naaamini anatetea chama chake na baba wa mshirika wake


  kama kweli wakasaidie polisi coz wanaushaidi wa kutosha
   
Loading...