Hivi huko bungeni kulivyo wazi je hawa wabunge ambao hawapo wanalipwa posho?

masabo

Member
Jul 8, 2012
62
12
Ndugu wazalendo naomba tuambiane wabunge ambao hawapo bungeni nao huwa wanalipwa posho?
 
Hata kama hawalipwi posho, je wanakuwa wapi ? Maana muda mwingi vitu huwa wazi. Kama wanafanya kazi maalum kama vile vikao vya Kamati mbali mbali sawa, lakini kama wanakuwa kwenye shughuli zao hata kama posho hawalipwi lakini wanatumia muda wetu vibaya, sisi ndio tumewapeleka huo, vinginevyo wasingekuwa hapo.
 
Back
Top Bottom