Aibu kubwa ccm jimboni rorya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aibu kubwa ccm jimboni rorya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JALUO, Jul 10, 2012.

 1. J

  JALUO Senior Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  :hat:CHAGUZI MBALILI ZIMEZIDI KUSHIKA KASI NDANI YA CHAMA PINZANI CHA CCM 2015,,AWAMU HII KAMA INAVYOFAHAMIKA CCM WANAENDELEA KUPANGA SAFU YA VIONGOZI WA NGAZI ZA CHINI KAMA VILE WENYEVITI WA MITAA NA VIJIJI WA CHAMA HICHO,,AIBU HII IMEJITOKEZA PALE CCM WALIPOFANYA UCHAGUZI ILI KUMPATA MWENYEKITI WA KIJIJI CHA SHIRATI SOTA KATA YA TAI WILAYANI RORYA NA KWA KURA ZA KISHINDO WAKAISHIA KUAIBIKA KUMCHAGUA BWANA OKOTH ACHOLA AKA ALUMA....AMBAE HAJUI KUSOMA WALA KUANDIKA.
  HII NI AIBU KWA TAIFA NA CHAMA KIKONGWE KAMA CCM,NAPE POPOTE PALE ULIPO,,KIMBIA RORYA MAMBO YANAHARIBIKA,,LAKINI SI KOSA LA WANAKIJIJI KWANI SEHEMU KUBWA YA KIJIJ HICHO INAONGOZWA NA CHADEMA SO INAWEZEKANA HAWAKUA NA WAKUMCHAGUA TOFAUTI NA BWANA OKOTH ALUMA aka A B C D....
  NAWASILISHA,,SOURCE PANDA BUS NENDA SOTA MADUKANI UTAKUTA HILO GUMZO LINAENDELEA NA WANA CCM WACHACHE WENDA WATAANDAMANA KUMPINGA JAMAAAAA,,,UCHAGUZI NAO ULIGUBIKWA NA UTATA . ​
   
 2. J

  JALUO Senior Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  poleni wana thithiemu
   
 3. M

  MIRIJA IKATWE Senior Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh kali hiyo, sasa nani kamjazia fomu za uchaguzi au mpambe wake.
   
 4. A

  ADK JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,169
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Imekula kwao
   
Loading...