Waziri anapoadress issue ya tishio la watu kuuwawa huku anacheka na kutabasam...

Bisek

Member
Apr 2, 2012
77
10
Nilivutiwa sana jana nilipomuona waziri mwenye dhamana ya mambo ya ndani - Jeshi la polisi na mengineyo akitangazia umma tishio la watu kuuwawa tena viongozi wa kitaifa huku akicheka cheka na kutabasamu as if habari hizo ni nzuuri sana kwa watanzania.Speach yake ilionyesha jinsi serikali anayoiwakilisha isivyo na serious...aidha speach ile imenikumbusha uwezo mdogo(intelectual na interpesonal)wa waziri huyo katika ku handle issues za wizara yake.

Najiuliza sipati jibu kama tunaweza kuiamini wizara ya mambo ya ndani tukiwa na mawziri dhaifu kama hawa
 
MAKAMANDA WAOGA ,maana ya makamanda, wapiganaji ,magwanda, majina mengineyo,yanamaanisha watu walio timamu na tayari kwa lolote, si ndio jamani. cha kushngaza sasa mbona chadema ni wapiganaji waoga ,mtu kazusha maneno kidogo tu, tayari ohh tunataka kuuwawa, mpiganaji haogopi kufa, acheni uoga bana mimi sipendi.
 
Nilivutiwa sana jana nilipomuona waziri mwenye dhamana ya mambo ya ndani - Jeshi la polisi na mengineyo akitangazia umma tishio la watu kuuwawa tena viongozi wa kitaifa huku akicheka cheka na kutabasamu as if habari hizo ni nzuuri sana kwa watanzania.Speach yake ilionyesha jinsi serikali anayoiwakilisha isivyo na serious...aidha speach ile imenikumbusha uwezo mdogo(intelectual na interpesonal)wa waziri huyo katika ku handle issues za wizara yake.

Najiuliza sipati jibu kama tunaweza kuiamini wizara ya mambo ya ndani tukiwa na mawziri dhaifu kama hawa

Tunda sawa na mti. Kama Polis wa TZ ni Katili hata wazawa wao ni katili. Hilo pozi la kucheka huitwa "neon smile" kwa kimombo. Mheshimiwa waziri naye ni mtoto wa Afisa wa POLIS mstaafu.
 
Mangimeli, Ni wajinga wenzio wa Mwembechai tu waliokwenda kupambana na polisi wenye bunduki na risasi za moto, wakati wao wamebeba makokwa ya embe dodo. Funguka akili.
 
CCM ni janga la kitaifa! Serikali imejaa harufu ya damu!!!!! Ila na wao wajiandae tu!!!
 
Back
Top Bottom