Polisi wa doria wanakamata watu na kuwabambikiza utesaji wa Dr. Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi wa doria wanakamata watu na kuwabambikiza utesaji wa Dr. Ulimboka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bujibuji, Jul 18, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,252
  Likes Received: 15,073
  Trophy Points: 280
  Mfanyakazi mwenzetu Gerald Ngedabanga amekamatwa na polisi wa doria waliokuwa kwenye gari aina ya Land Cruiser lenye namba za usajili za Uingereza.
  Walimsimamisha maeneo ya ufukwe wa Ocean Road mchana huu, na wakasema wana mashaka nae.
  Polisi walimuomba leseni, akawapa. Wakataka kitambulisho cha kazi, akawapa.
  Baada ya kuwapa nyaraka hizo, Polisi wakamwambia kuwa anatuhumiwa kwa kushiriki utesaji wa Ulimboka.
  Mpaka muda huu yuko Central akihojiwa.
   
 2. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,906
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Hii kesi ya Dr Ulimboka inaonekana inaaanza kuwa chanzo cha MAPATO KWA POLISI WASHENXI WA TABIA......Hapa wananchi tutasumbuliwa wengi tuu kwa kisingizio cha UNAHISIWA KUSHIRIKI KATIKA TUKIO LA KUMTESA DR ULIMBOKA...
   
 3. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,965
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  buji tafazali mkuu///////][';[]';,
   
 4. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,568
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hii sasa ishakuwa hatari.
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,604
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Mkuu, ya kweli haya??
  :spy:
   
 6. E

  EMMANUEL NSAMBI JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wanafikiri kwa kufanya hivyo ndio watatuaminisha kuwa kutekwa
  kwa ulimboka kumewauma.Si alisema wameshamkamata mtekaje?
  Kwanini wasimhoji huyo awataji wenzake aliokuwa nao?Kutekwa
  kwa Ulimboka kunahusiana gani na leseni ya udereva?
   
 7. mooduke

  mooduke JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 618
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  jamani hebu mtuepushie hili balaa jinsi tulivyochoka halafu mnaaza kutuletea tena huu utumbo hebu tuacheni
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  ACP Ahmed Msangi ndio mhusika katika utekaji na utesaji wa Dr .
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,281
  Likes Received: 7,082
  Trophy Points: 280
  Hapa ndio hua naona umuhimu wa kua na kale kasehemu ketu kakutukania kidogo, ni ujinga huu usiovumilika
   
 10. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,704
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  no transparent rules
   
 11. t

  tara Senior Member

  #11
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nashauri tuanze kutembea na vitamburisho vya chama cha magamba mfukoni hata kama sio wanachama.Hii itatusaidia sana kupunguza kamatakamata kama ndo hivi imekuwa....
   
 12. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hatari kivipi ?
   
 13. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,929
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  napita tu
   
 14. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  niko mitaa ya namanga, wanten nne zina polisi wananing'inia huku chini watu wengi wakiwa wamerundikwa, wanatolewa o bay polisi, sijui nao ni wahanga wa ishu ya ulimboka?
   
Loading...