Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jamani nomba kuuliza kama kunamtu anajua nn kinaendelea juu ya huyu jamaa maana isije ikawa anarudi bana maana nilisikia kunawabunge pamoja na kamati ya nishart walikua wanamtetea sijui imefikia wapi?
0 Reactions
2 Replies
974 Views
Kwamba sasa vita au nia ya kugombea urais imekuwa gumzo si ndani ya CCM bali nje ya CCM. Hapo tumefika pazuri. Mwaka 2005, kulikuwa na mnyukano mkali ndani ya CCM. Mimi nilisafiri hadi Dodoma...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Nipo hapa ukumbi wa mgodi wa GGM yupo mwakilishi toka SSRA anayejulikana kwa jina Ngowi anajribu kutoa ufafanuzi wa sheria kandamizi ya SSRA lakini watu hawamwelewi hali ni tete wafanyakazi...
10 Reactions
100 Replies
9K Views
Kwenye barua yake kwenda kwa uongozi wa juu wa gazeti la mwananchi, hii ni sehemu ya barua yake. Nasikitika kutumia nafasi hii kukuandikia kukutaarifu kuwa gazeti lako la Mwananchi la Julai 23...
13 Reactions
100 Replies
10K Views
  • Closed
naona mambo yanzidi kwenda mrama kila sehemu.. Ule mgomo wa walimu uliokuwa ukisuasua sasa ni dhahiri shairi umeibuka kwa nguvu.. Baada ya kutangaza kuanza mgomo wiki chache zilizopita.. Swala...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Mheshimiwa mbunge naomba ulitolee tamko hili la viwanja vya Gezaulole! Kwanza wale waliokuwa na mashamba yale walidhurumiwa na wilaya ya temeke kwa kisingizio cha uendelezaji mji,lakini ilikuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na ujumbe wa Uongozi wa Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,ukiongozwa na...
0 Reactions
0 Replies
935 Views
Kufa na Kupona kwa CCM..
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Sakata la kusimamishwa Mkurugenzi wa Tanesco limeingia hatua mpya. Habari za uhakika zinasema baada ya viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini kumgusa mtu wa Rostam na Ngeleja na kutishia...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Umwagikaji wa damu unaovihusisha vyombo ya dola katika kulinda maslahi ya watawala sio jambo salama. Vyombo vya dola havipaswi kuegemea chama au jamii fulani katika kutekeleza majukumu yao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Zitto ni mfano mmoja wa maraisi watarajiwa lakini Tanzania ni lazima tujiulize ni viongozi gani tunawataka na ni jinsi gani tunaweza kuendeleza Tanzania kwa kizazi kijacho. Tanzania ni nchi ambayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
<iframe width="420" height="315" src="http://www.youtube.com/embed/bQuy-njrnKo" frameborder="0" allowfullscreen></iframe> acha bana uyu mzee ni nomahttp://youtu.be/bQuy-njrnKo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wandugu zangu, Mnakumbuka enzi za baba moi na akina oginga odinga, saitoti, njonjo nk, au kule kwa mzee robati mugabe?? Hawa jamaa ni kiboko , walipoona wapinzani wanazidi kupata nguvu basi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar Mamlaka ya Usafiri wa Baharini Zanzibar imezifutia rasmi hati ya kufanya kazi Meli ya Mv.Kalama, Mv.Seagul na Mv.Sepideh kutokana na meli hizo kutokukidhi hali ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Viongoziwa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Jumuiya ya Madaktari na Madaktari waliofukuzwa kazi na wengine kusitishiwa usajili wa leseni zao za muda walikutana jijini Dar es Salaam jana na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
Katika gazeti la Mwananchi la tarehe 23 Julai 2012, kulikuwa na habari yenye kusomeka 'Wabunge wamsafishia Zitto njia ya Urais 2015'. Habari hii imeleta mjadala mara baada ya kutoka na kusomwa...
42 Reactions
376 Replies
28K Views
Kituo cha kutetea haki za binadamu nchini Tanzania kimesema kinaandaa taratibu za kuiburuza serikali mahakamani kwani kumkatalia mwanachama kuchukua hela zake kwa vile hajafikisha miaka 60 ni...
16 Reactions
179 Replies
15K Views
Sina haja ya kuaeleza umuhimu wa uchaguzi wa 2015 kwani changanoto na udhaifu uliopo ni dhahiri kabisa. Bila ya kujali vyama vya siasa hii post inajitahidi kumfanya Rais kama taasisi yenye nguvu...
1 Reactions
0 Replies
864 Views
Juzi juzi rais jakaya kikwete amezindua mradi mkubwa wa maji huko mbeya mradi huo ambao umegharimu shilingi bilioni 79 utadumu kwa muda wa mpaka mwaka 2017 ambapo inategemewa hadi kufikia muda huo...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Nasikiliza bunge hivi sasa, kwanza nilianza kwa kucheka, halafu nikapata hasira, na hii si leo tu. Kwanini wabunge wanawasilisha hotuba zao kama wamebonyezwa "Fast forward"? Hotuba zinakuwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…