Mwakilishi SSRA apewa vidonge ndani Geita Goldmine Ltd | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwakilishi SSRA apewa vidonge ndani Geita Goldmine Ltd

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muangila, Jul 25, 2012.

 1. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Nipo hapa ukumbi wa mgodi wa GGM yupo mwakilishi toka SSRA anayejulikana kwa jina Ngowi anajribu kutoa ufafanuzi wa sheria kandamizi ya SSRA lakini watu hawamwelewi hali ni tete wafanyakazi wanadai hawakushirikishwa uzalishaji umesimama ...nitwapa updates
   
 2. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  wampige mawe kabisa.....hawa jamaa ni vilaza sana....
   
 3. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Aambiwe kabisa hilo haliwezekani waondoe.. yaani mtu uache kazi leo ukiwa na miaka 30 umechangia 2m, usubiri ukiwa na 55 years? No way...
  Kwa interest gani? Na pia wakishaondoa hilo... tunataka wafanyakazi wanachama wa mifuko waruhusiwe kukopa kwa akiba yao kama collateral na kwa riba nafuu. Mbona GPF wanafanya hilo? na turuhusiwe kuama mfuko mpaka mfuko si kwa kuangalia wanacham wapya tu.
   
 4. d

  dguyana JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  UA kabisa hakuna tofauti kazi ya majambazi na hawa watu aisee. Hawana hata aibu?
   
 5. zaleo

  zaleo JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,733
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Watanzania lazima kuamka ama sivyo CCM inatupeleka ahera
   
 6. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Mtamuonea bure, wanaostahili KUPIGWA mawe ni BARAZA LA MAWAZIRI lililopoleka muswaada huo na WABUNGE waliopitisha muswaada. That are real our enemies.
   
 7. peri

  peri JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hawa jamaa wameshindwa kazi, badala ya kumtetea mtumishi, wamegeka watetezi wa mifuko.
   
 8. C

  CAY JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwanini wasimninye wamtoe .....vi!
   
 9. C

  CAY JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wakimpiga na kuumiza halafu ikaripotiwa na media itasaidia kutoa ujumbe kwa hao watunga sera kuwa watanzania/wafanyakazi hatujaridhika!
   
 10. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Tunajua mjumbe ahuwawi mkuu,lakini unaangalia na nini ulichotumwa...jamaa wanaamini kwamba sheria ipo sahihi cjui wao hawakatwi nssf...na wao ni vilaza pia...
   
 11. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  anasema eti SSRA wana mamlaka ya kuirekebisha sheria hii na hasa kwa maeneo maalum kama migodi ila kinachonishangaza anadai TUCTA,TAMICO na vyama vingine vya wafanyakazi walishirikishwa
   
 12. agatony8l

  agatony8l JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naunga mkono hoja, hii CCM itatumaliza mwaka 2015 ni mbali sana jamani. Huu ni uwizi wa asubuhi na mapema
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Siku zote watu wamekuwa wanasema serikali iko 're-active' and not 'pro-active' Sheria inayogusa maisha ya watu moja kwa moja unaipitishaje bila kuwashirikisha waathirika?

  Mgaya anasemaje kwenye hili, alishirikishwa?
   
 14. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  watu wanamrushia chupa za maji lakini HR Manager ameingilia kati katuliza hali
   
 15. C

  CAY JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Inauma sana ,kodi juu,gharama za maisha juu,huduma za jamii dhaifu tena na akiba kutokana na jasho yako pia unyang'anywe! Serikali hii ni Mafia kabisa!
   
 16. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Please endelea kutupa update wafanyakazi nao wamepewa nafasi ya kuongea?
   
 17. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2012
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Huu ni ujambazi, wizi na ufisadi mkubwa wa siri-kali. Wanapitisha sheria mufilisi na kandamizi kama hizi ili kuficha ufisadi walioufanya. Hima wafanyakazi tusikubali upuuzi huu.
   
 18. Imany John

  Imany John Verified User

  #18
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  nasikia hali ni mbaya kuna jamaa wa field wapo pale nasikia hali si shwari wanajamvi.
   
 19. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #19
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  wafanyakazi wameripuka wanadai wachukue hela zao alafu sheria ianze upya kwa anayetaka kujiunga ajiunge asiyetaka aajiriwe kama kibarua,kumbe wapo na wawakilishi toka Buzwagi na KMCL
   
 20. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #20
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  kwa nini msimponde mawe atudi huko DSM SSRA akiwa kwenye Jeneza wajue kama tuna hasira nao?
   
Loading...