Mgomo wa walimu wanukia, na wafanyakazi wa migodini kuacha kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa walimu wanukia, na wafanyakazi wa migodini kuacha kazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by commited, Jul 25, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. commited

  commited JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  naona mambo yanzidi kwenda mrama kila sehemu.. Ule mgomo wa walimu uliokuwa ukisuasua sasa ni dhahiri shairi umeibuka kwa nguvu..

  Baada ya kutangaza kuanza mgomo wiki chache zilizopita.. Swala hilo lilipelekwa katika tume ya usuluishi ili kuumaliza mgogoro huo (madai yakiwa ni kuboresha mishahara yao, kuboresha mazingira ya kazi pamoja na posho), leo jibu limetoka kuwa usuluhishi umeshindikana baina ya walimu na serikali na hivyo basi tume ya usuruhishi imetoa cheti cha mgogoro huo kushindwa... Na hivyo basi walimu woote wanapaswa kupiga kura ya kuingia rasmi katika mgogoro na serikali kati ya tarehe 25-27/07 saa 3 kamili asubuhi... Ili jibu lipatikane

  source taarifa ya habari ya itv.. saa 2.00 usiku tarehe 25/07/2012

  wakati huhuo wawakilishi wa migodi mikubwa leo wametoa tamko la kutokukubaliana na sheria mpya iliyopitishwa ya nssf ya kuzui wanachama wake kujitoa, pamoja na kutopata mafao yao mpaka umri wa kustaafu (55-60) utakapowadia....pia wamewaandikia barua waajiri wao kuwa wanaacha kazi muda si mrefu

  naona mambo yanazidi kuwa magumu.... Karibuni tuyajadili haya kabla wakina mzee wa gombe na mzee wa kudadadaaaakeeee... Hawajaishauri serikali ya dhaifu kukimbilia mahakamani.....
   
 2. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mi nawaunga mkono walimu asilimia 99.99 nao wana haki zao za msingi,maisha yao magumu sana,kwanza wadogo zetu hawana vitadu vya kujisomea
   
 3. t

  thatha JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  nina update za walimu kwamba hapa jijini dar wamepiga kura ya kuunga mkono mgomo leo na kura zote zina suport mgomo hakuna hata moja iloharibika,nadhan sasa walimu wameanza kujitambua
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,704
  Likes Received: 12,755
  Trophy Points: 280
  Si waamini walimu linapo kuja swala la mgomo.
   
 5. t

  thatha JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  now they are serious,subiri utaona
   
 6. commited

  commited JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ndugu zangu binafsi naona 2015 ni mbali sana...

  Tunapaswa tuamke tusipoangalia serikali hii haina nia njema kabisa na watu wake... Inakuwaje sheria kama hiyo ya nssf inatungwa bila kuwashirikisha wadau wenyewe ambao ndio waliowekeza fedha... Yaani kweli ushindwe kufanya maendeleo ya fedha yako ukiwa kijana eti kisa mtu anakusubirisha mpaka ufikie miaka 55...

  Aghraaaaa haya mambo ya hovyo sana,.... Hayo maisha ya walimu ndio msiseme wakuu kunajamaa zangu walimaliza mwaka jana udsm hapo(mlimani) bsc. Ya education wakapangiwa vituo morogoro (kirombelo) tangu mwezi march 2012 mpaka leo hawajaingizwa katika pay roll mpaka leo.. Na inasemekana hizo pesa zinakuja na zinapigwa.... Sasa kweli utaishije....

  Watz wenzangu tuamke hii serikali haina huruma kwa watu wake hata kidogo... Halafu najiuliza kwanini imepitishwa haraka haraka hivi....???? Kunakitu hapa nahisi haiwagusi wakubwa( wabunnge na mawaziri)..... Ishu za kishetani hizi.....
   
 7. commited

  commited JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  bora kinuke tu wakuuu... Liwalo na liwe akimbile tena mahakamani.. Lakini hali ni mbaya sio siri ... Muda wa mabadiliko naona unawadia.. Mungu anazidi kuwapunguzia mioyo ya utu ya watu waliowapigia kura.... She...zi zao
   
 8. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Naangalia channel ten mambo ya mifuko ya jamii ,napata meseji kuhusu mgomo wa walimu umeiva kesho wanatakiwa wapige kura. Haya wale waoga tunashaka na kuunga mkono mgomo huu. Na mgomo gani na walimu watakuwa likizo ya sensa.
   
 9. S

  Sessy Senior Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  walimu waoga sana sijui ngoja tuvute subira tuone km wataweza
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,319
  Likes Received: 22,120
  Trophy Points: 280
  Hatari n i pale mgomo ukifika baa na kwenye nyumba za wageni.
  Mbaya zaidi na viongozi wa dini wakigoma
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Bila shaka waliokaosa hoja watasema CDM wanahusika pia hapa!!!!
   
 12. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwanzia tar 23 mwezi ulopita sijapewa hata shingi kumi na serikali mpaka leo wakati kila siku mbunge yeye anapewa posho. NINA APA NA BADO.
   
 13. commited

  commited JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  wana chademafobiasis ambao nji ugonjwa mbaya sana unawaua taratibu mpaka sasa umeanza kutafuna hata akili za jk na washauri wake woote... Mpaka 2015 utakuwa umemaliza seikali nzima... Lakini ni ugonjwa unaowafanya wananchi wanazidi kuwa majasiri na kukataa kuonea.. Na zaidi ya yote unawafanya wananchi waamini kuwa nchi yao si maskini hivyo wanapaswa kufaidika na kila kilichopo nchini mwao
   
 14. i

  igoji Member

  #14
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani huku kenya waalimu wana mgogoro na serikali wanataka waongezewe salary kwa 300% yaani from Ksh.24000 to 72000. wako serious kwelikweli. Nanyi TZ kazeni kamba ili mziilishe kuwa vichwa vyenu sio vya kuoteshea nywele tuu. LIWALO NA LIWE.
   
 15. commited

  commited JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  mkuu polesana
  ndio serikali yetu hiyo inaendeleza principle ya bottom neck theory... Ila kila kitu kina mwisho tutawanyonga wote walioshiriki kutuibia ... Jamaa zangu ni walimu wameamua kuacha kabisa na kuwa wauza mitumba tu...
   
 16. commited

  commited JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  asante mkuu kwa hizo update... mabadiriko tz yanakuja kwa kasi sana... kitaeleweka tu
   
 17. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Wafanya kazi wa mgodini watakuwa victims wa hii sheria mpya ya mifuko ya kijamii.huku mgodini kwanza job security ni ndogo sana.any time unatimuliwa kwa kosa dogo sana.je mtu akae miaka 30 ndio apate mafao yake let say anamiaka 25.kwa kweli hapa serikali imeteleza.
   
 18. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Naangalia channel ten mambo ya mifuko ya jamii ,napata meseji kuhusu mgomo wa walimu umeiva kesho wanatakiwa wapige kura. Haya wale waoga tunashaka na kuunga mkono mgomo huu. Na mgomo gani na walimu watakuwa likizo ya sensa.
   
 19. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #19
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Nakuunga mkono100% walimu siwakuwachukulia dhamana hawachelewi kukimbia na kkuachia kesi,subiri wazipate za sensa kama utawaona.
   
 20. madibira1

  madibira1 Member

  #20
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Walimu gani wa Kenya au wa Tanzania.....? Kama ni wa Tanzania hilo sahau.....!!!!!!!!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...