Damu yetu ni ndoa ya ccm na vyombo vya dola | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Damu yetu ni ndoa ya ccm na vyombo vya dola

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MLO, Jul 26, 2012.

 1. M

  MLO Senior Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umwagikaji wa damu unaovihusisha vyombo ya dola katika kulinda maslahi ya watawala sio jambo salama.
  Vyombo vya dola havipaswi kuegemea chama au jamii fulani katika kutekeleza majukumu yao.
  Kinachotendeka sasa labda kwa kutojua au kwa makusudi ni kuvitia vyombo vya dola katika ndoa isiyo halali.
  Ndoa hii itavilazimisha vyomo vya dola kukikumbatia chama tawala ili wakuu wa vyombo hasa wanaotajwa kuhusika katika umwagaji wa damu hizo wasingie matatani kwa kuruhusu chama pinzani kushika hatamu.
  Propaganda tayari zimeanza kuzagaa kuwa wapinzani wakichukua nchi waliojificha chini ya mwamvuli wa ccm hawatasalimika kulipa ukatili walioutenda kuitetea ccm.
  Umwagikaji wa damu unaongezekaka huku vyombo vya dola vikikaa kimya ni mtego wa kuwanasa wanasheria na wanausalama na tayari wameshanasa.
  Itahitaji gharama ya Damu na wengine kukimbia nchi ili ndoa hii ivunjike.
  katika hali tete kisiasa kama Tanzania tugemee kuona mtu anaweka mtoto wake kuwa mkuu wa vyombo vya usalama.
  Vyombo vyote vya ndola haviko huru vinatumiwa na mahakama nayo imekuwa kimbilio la watawala.
  Watanzania hatuna njia ila Damu lazima imwagike kunja ndoa hii haramu.
  Vitabu kama biblia vina sema hakuna ukombozi bila Damu
  Tafakarini sana!!!!!!
   
 2. G.T.L

  G.T.L JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 208
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Nimekuelewa vizuri sana MKUU.
   
Loading...