Mapinduzi ya CCM yako wapi ?

Cartoons

Senior Member
Jul 16, 2012
122
38
Kwa mujibu wa 'katiba ya ccm 1977,toleo la 2010. Wajumbe wa mkutano mkuu waliamua kuunda ccm ili kuendeleza mapinduzi ya KIJAMAA, ndio maana kikaiwa chama cha mapinduzi.

Katika kuleta hayo mapinduzi walikubaliana ccm iwe chombo madhubuti kimuundo , fikra na vitendo vyake.

Walikubaliana kufutilia mbali unyonyaji,uonevu,udhalilishaji na kudhoofisha au kuzorotesha maendeleo ya taifa.

Je,mbona haya mapinduzi hatuyaoni ?
 
kwa mujibu wa 'katiba ya ccm 1977,toleo la 2010.
Wajumbe wa mkutano mkuu waliamua kuunda ccm ili kuendeleza mapinduzi ya kijamaa, ndio maana kikaiwa chama cha mapinduzi.
Katika kuleta hayo mapinduzi walikubaliana ccm iwe chombo madhubuti kimuundo , fikra na vitendo vyake.
Walikubaliana kufutilia mbali unyonyaji,uonevu,udhalilishaji na kudhoofisha au kuzorotesha maendeleo ya taifa.
Je,mbona haya mapinduzi hatuyaoni ?

walioanjisha kwa malengo hayo wamekufa na malengo yao!
Wamebaki wanafiki tuu kama akina sitta!
 
walioanjisha kwa malengo hayo wamekufa na malengo yao!
Wamebaki wanafiki tuu kama akina sitta!

lakin bado kifungu cha 5(4) cha hiyo katiba, kinawataka wanachama kuendeleza fikra za viongozi wa TANU na ASP.
Km viongoz na wanachama wa ccm hawailewi vizuri katiba yao basi ndio tunarudishwa kwenye ile dhana ya mtu akizeeka akili yake hufanana na ya mtoto.
 
Kwa mujibu wa 'katiba ya ccm 1977,toleo la 2010.
Wajumbe wa mkutano mkuu waliamua kuunda ccm ili kuendeleza mapinduzi ya KIJAMAA, ndio maana kikaiwa chama cha mapinduzi.
Katika kuleta hayo mapinduzi walikubaliana ccm iwe chombo madhubuti kimuundo , fikra na vitendo vyake.
Walikubaliana kufutilia mbali unyonyaji,uonevu,udhalilishaji na kudhoofisha au kuzorotesha maendeleo ya taifa.
Je,mbona haya mapinduzi hatuyaoni ?
Mkuu upo wapi? mbona malengo yalishabadilishwa zamani hata jina la chama lakini kifupi kikabakia kilekile Chama Cha Mafisadi au Chama Cha mabwepande
 
Wajumbe wa mkutano mkuu waliamua kuunda
557047_3958432091888_2049654695_n.jpg
ccm ili kuendeleza mapinduzi ya KIJAMAA, ndio maana kikaiwa chama cha mapinduzi.
Katika kuleta hayo mapinduzi walikubaliana ccm iwe chombo madhubuti kimuundo , fikra na vitendo vyake.
Walikubaliana kufutilia mbali unyonyaji,uonevu,udhalilishaji na kudhoofisha au kuzorotesha maendeleo ya taifa.
Je,mbona haya mapinduzi hatuyaoni ?[/QUOTE]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom