Nape, Nchemba - fanyeni hivi ili CCM yenu iondoke ICU na kurudi katika chati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape, Nchemba - fanyeni hivi ili CCM yenu iondoke ICU na kurudi katika chati

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jul 22, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wahongeni wahariri wa vyombo vyote vya habari wasiwe wanaandika habari za wizi na ufisadi katika serikali yenu unaofanywa na wakubwa kila siku huku hakuna hatua za maana zinachukuliwa isipokuwa ubababishaji tu.

  Hali kadhalika muwape wahariri hongo nyingine ili wasiwe wanaandika habari za ugomvi, hujuma na uhasama ndani ya safu ya juu ya chama chenu.

  Hii mnayofanya sasa hivi kutumia polisi kuhujumu CDM, au vi-sms vya fake havitawasaidieni kabisa.

  Na kama mtashindwa kuwathibiti wahariri, basi kampeni zenu katika majukwaa ziwe zinawalenga majizi na mafisadi unaofanywa na vigogo katika serikali ya chama chenu -- hapo angalau wananchi watawasikia. Lakini najua hamthubutu kufanya hivyo na hivyo wananchi wataendelea kuwaona nyie kama ni wawakilishi wa wale wale majizi.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ya nini kuwapa akili hawa? Kwanza hicho unachokisema hawawezi kabisa sana sana wataendelea kutumia polisi tu kwani wana amri nao.

  Wacha liCCM lijifie lenyewe!
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  highlight in red: Hicho ndicho hasa kinawatenga wananchi kutoka CCM. CCM wanafahamu sana lakini jeuri ya hela ndiyo itawaangamiza.
   
 4. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  ccm inatakiwa kuacha ujinga unaofanywa na wabunge wao kule bungeni .... wakiongozwa na viongozi wakuu wa mhimili huu
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Whaaaaaaaat!!!!!!!!! Magamba waondokane na wizi? labda kesho jua lichomoze kutoka magharibi kuelekea mashariki!
   
 6. k

  kibugumo JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 1,347
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wizi ni jadi yao hawawezi kuacha,kikubwa tuwanyime ridhaa ya kuongoza nchi yetu.
   
 7. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Mkuu wahariri wanahongeka no doubt. Lakini JF watamhonga nani?
   
 8. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo chacha!
   
Loading...