Wabunge wa Upinzani... Hii imekaaje wadau? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa Upinzani... Hii imekaaje wadau?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Jul 22, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Mimi ninaomba kujulishwa kwa wabunge wa vyama vya upinzani Kuwa karibu na Rais...(Mwenyekiti wa CCM) hii imekaaje?

  Maana kuna baadhi ya wabunge wa upinzani wamekuwa na uswahiba na Rais wa JMT ambaye ni Mwenyeketi wa CCM...je hawa uswahiba wao unatija kwenye upinzani au wana sababu zao...zilizo nyuma ya pazia?

  Mimi binafsi aingii akilini kwani urafiki unaweza kuwa wakati wa afla fulani lakini unaokuwa nje ya hapo nakuwa na wasiwasi....sijui nyinyi mnasema vipi kwahili..

  Mimi nawasilisha!
   
 2. a

  andykei New Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hakuna tatizo aise
   
 3. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hao ni INZI wake; ndio maana wengine anawateua kuwa wabunge na wengine anasafiri nao kwenda South Sudan!!!
   
Loading...