Ushauri wa bure kwa mwigulu nchemba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa bure kwa mwigulu nchemba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GOOD SAMARITAN, Jul 22, 2012.

1. G

GOOD SAMARITAN New Member

#1
Jul 22, 2012
Joined: Jul 22, 2012
Messages: 4
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
kwa siku za hivi karibuni Mh nchemba amekuwa akionekana kukosa uvumilivu katika michango yake akiwa Bungeni, sina tatizo na nafasi anazopata kuchangia na miongozo, taarifa anazowapa wabunge wa upinzani wanokuwa wanachangia na pia kuhuau utaratibu. nimejaribu kumtafakari kwa kina nikabaini yafuatayo (mawazo yangu):

anapenda kujisifu sana kuwa yeye ni msomi

hupenda kouna kinachofanywa na wabunge wa upinzani si kitu na hakina mchango wowote

anachomfanyia mtu mwingine hataki yeye afanyiwe

labda nipitie hoja zangu kama zifuatavyo:
katika siku za karibuni katika kipindi cha TBC asubuhi, mtangazaji marine alipata nafasi ya kuwahoji akiwa na mh zitto, katika mazingira ya kuonekana akiwa anataka kutawala mazungumzo (dominate) MH mwigulu alikuwa akizungumza mpaka kujikuta akizungumzia alama zake alizopata katika somo la Public finance na hatimae kuonyesha kuwa yeye ni bora kuliko mchangiaji mwenzake na pia kufanya Kazi BoT ni kigezo ambacho kinampa ubora kuliko zitto na pia upinzani.
sina tatizo na swala kutaja alama zak,e, je ni mahali husika je inamwongezea credibility au anadhani ni kipindi kile ambapo wasomi walikuwa wachache.

kitendo cha mh nchemba kuchanachana na kuita rabish hotuba ya kambi ya upinzani na kuwataka waiondoe au warudi tena darasani si kitendo cha busara hata kidogo, je anadhani ndicho kigezo cha kujiweka katika nafasi ya juu kisiasa?

siku chache zilizopitz mwigulu anajitokeza hadharani akiwa na katibu wake mwenesi bila aibu akionyesha vimemo wanavyoandikiana na mh mbowe, lakini haelezei uhalisia wa maneno aliyoyatoa katika vyombo vya habari kuhusu watoto wake wanaosoma nje .

USHAURI WANGU KWA MH MWIGULU:
WATANZANIA WAMEKUWA HAWANA IMANI TENA HA SISIEM NA HATA KIZURI KITAKACHOFANYIKA WATANZANIA WATAONA SI KIZURI. HII INATOKANA NA BAD IMAGE WALIONAYO, DAWA SI KUTUMIA MABAVU KUWATULIZA AU KUTUMIA FEDHA ZA WALIPA KODI KATIKA KUWATULIZA.
KUENDELEA KUPITAPITA KATIKA VYOMBO VYA HABARI NA KUJIONESHA WEWE MSAFI WAKATI UKO KWENYE TOPE NI SAWA KUENDELEA KULISAMBAZA KIRUSI KILICHOPO KATIKA COMPUTER YAKO ANGALI HUNA ANT VIRUS.

WATANZANIA WAMEANZA KUKUCHOKA KAMA NA MANENO YAKO, MUULIZE SHIBUDA MBONA SIKU ZA KARIBUNI HAONEKANI AKISEMASEMA SANA.

UNAJICHORESHA MBELE YA MACHO YA WA-TZ

2. PakaJimmy

PakaJimmy JF-Expert Member

#2
Jul 22, 2012
Joined: Apr 29, 2009
Messages: 16,236
Likes Received: 309
Trophy Points: 180
Mkuu, sumu apewe Paka, Mbuzi utamuonea bure.

3. Nyetk

Nyetk JF-Expert Member

#3
Jul 22, 2012
Joined: Feb 28, 2012
Messages: 1,624
Likes Received: 819
Trophy Points: 280
Naona umeamua kumchezea gitaa mbuzi.

Loading...