Wabunge wa Mtwara na Harakati za Ten Percent... 2015 Vijana Tunawabwaga

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
Jana wamezindua bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar...
Zitto Kabwe alikuwepo, nasikia nae yumo kwenye kujimilikisha maeneo Mtwara!!!!

Nani kawaambia gesi oende huko badala ya kujenga mtambo huku then umeme ndo uende huko?? Utadhani wataishi milele!!!

Ubunge ni kazi unayopewa na wananchi. Mwajiri wako au Boss ni wananchi, iweje nyinyi mnakula raha Dar kwenye viyoyozi huku sisi tunapigika na vumbi!!!

Mtwara-Tandahimba-Newala-Masasi-hadi Nachingwea road yote hamna lami......

Tunashukuru mzee mkapa na kikwete, elimu vijana tumepata, na hatuna ajira!!! So tunarudi vijijini kuomba ajira kwa wananchi tuikomboe kusini!!!!

CCM kidumu chama letu, CDM pipoz pawaaaaa, CUF ngangri......
 
Endeleeni kuineemesha Dar na gesi yenu nyie umeme sio size yenu. Kama ingekuwa size yenu mngelazimisha umeme uzalishwe huko, mpate mitambo na ajira halafu waya ndo ziende Dar.

CCM imewaloga watu wa kusini hamsikii hamuambiliki kwa lichama lenu. Tunapowaeleza kuhusu sera ya majimbo mnadanganywa kuwa ni ubaguzi ili rasilimali zenu zizidi nufaisha maeneo mengine
 
Back
Top Bottom