Meya wa Manispaa ya Kinondoni afungua shina la ccm 1 metre barabarani!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meya wa Manispaa ya Kinondoni afungua shina la ccm 1 metre barabarani!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by payroll, Jul 22, 2012.

 1. payroll

  payroll Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za leo wakuu,
  nimepita pale mikocheni hospital opposite mchana huu , huwezi kuamini nimekuta shina la wakereketwa wa ccm lipo barabarani ndani ya mita moja kutoka ukingo wa barabata ya lami, kinyume na sheria ya barabara za manispaa na tanroad.
  nikachoka zaidi baada ya kugundua aliyefungua tawi hilo ni MEYA wa manispaa ya kinondoni mstahiki Yusuph Mwenda.
  uzi huu hauna itikikadi za vyama wala fitina za kisiasa ila jionee mwenyewe jinsi wakubwa walivyo mstari wa mbele kuvunja sheria!!
  TAZAMA HIZI PICHA ....
   

  Attached Files:

 2. m

  mtemi mazengo Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ccm ni janga la kitaifa
   
 3. a

  andrews JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​liwalo na liwe =ccm
   
 4. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  kaazi kweli kweli!!
   
Loading...