Nape Nnauye ni Kibaraka wa CCJ ndani ya CCM!

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Hii ni hoja inayozungunzwa sana na wajumbe wa NEC majina yao kwa sasa nayafanya siri, Kuwe Nnape tangia achukue nafasi ya ukatibu uenezi wa CCM amekuwa akifanya kazi za katibu mkuu Mzee Mkama, kutokuwa na maono ya kisiasa CDM kimezidi imarika kila kona ya nchi na CCM kimeshindwa endeleza sera badala yake kimekuwa ni chama cha kujibu mipasho. Hakuna creativity tena imekuwa ni kuiga kila wafanyacho CDM. Nnape amekuwa ni kibaraka wa kuuwa CCM, alikuja na falsafa ya kuvua gamba ndani ya siku tisini, hii imekuwa porojo huenda aliimanisha miaka 90. Naona anguka la CCM kwa kuwa na kibaraka wa CCJ, huyu kijana alishiriki hata kuandika katiba ya CCJ sasa hivi anaropoka na amekuwa maarufu kama vuvuzela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom