Bunge limeshindwa kupitisha Bajeti Kutokana na Uchache wa Wabunge LEO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge limeshindwa kupitisha Bajeti Kutokana na Uchache wa Wabunge LEO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ni Mimi Msiogope, Jul 21, 2012.

 1. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Naibu Spika Bw.Job Yustinno Ndugai limeahirishwa kwa kile kilichonyooshewa vidole na Wabunge wa Upinzani kuwa ni kutokutimiza Akidi ya yabunge zaidi ya 172.. Bajeti hiyo itajaribu kupitishwa tena Jumatatu..
   
 2. M

  MASIKITIKO JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 842
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  another Kituko!
   
 3. m

  maingu z Senior Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wapitishe wasipishe, hawatusaidii chochote kwani hata wangekuwepo, hakuna jipya ndani ya ccm, bora liende.
   
 4. F

  FAMILY LAW Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante,..magamba yameenda wapi au ndo wkend.
   
 5. Pangaea

  Pangaea JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 14, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ah! Acha bwana. Jamaa waliondoa signal ili tusione.
   
 6. M

  Mnyakatari JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,557
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 180
  Akina Masanja inabidi wajingalie sana karibia wanafunikwa na Bunge comedy.
   
 7. Alwayz on top

  Alwayz on top JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 558
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Tbc walikata matangazo kabla job nduagai hajatoa muongozo ..kiongoz umejuaje kama limeahirishwa? kila siku vituko kama tupo sinema
   
 8. Alwayz on top

  Alwayz on top JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 558
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Tbc walikata matangazo kabla job nduagai hajatoa muongozo ..kiongoz umejuaje kama limeahirishwa? bungen kila siku vituko kama tupo sinema
   
 9. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Tbccm wamefanya kazi nzuri ya kutufanya tusione wakasahau kuna jf tv live
   
 10. chubio

  chubio Senior Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  huu ni udhaifu mwingne wa njugai tena,cha mcngi pale mbatia alipoibua hoja ndo angejiridhisha kabla ya kukaa kamati lkn kwa udhaifu na uelewa mdogo wa sheria karuhusu wakae kamati zen wamehairisha had j3 hyo haijasaidia ki2,WAACHE KUWAHADAA WATZ
   
 11. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Posho zinaliwa tu...........kweli hii nchi ni kichwa cha mwendawazimu
   
 12. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Itakumbukwa Zengwe aliloundiwa Samwel Sitta hata kuukosa Uspika wa Bunge na 'Kupewa' Bi.Anne Semamba Makinda.
  Itakumbukwa kuwa Ripoti ya LHRC ya mwaka jana ilisema "Bunge la mwaka 2010 limekuwa na masahihisho ya Kanuni,Miongozo na Utaratibu mara tatu ya Bunge la 2005-2009"
  Itakumbukwa kuwa uendeshwaji wa Bunge wa Bi.Anne Semamba Makinda umekuwa wa kibabe kuliko lile bunge la Mhe.Karimjee.
  Serikali imekuwa ikishindwa hovyo hovyo bungeni kwa ajili ya Ubabe wa huyu Bibi. Hata hivyo akishirikiana na Bwn.Job Yustino Ndugai wamekuwa wakijaribu kuburuza Shughuli za bunge kwa lengo la kuwakwamisha wapinzani... Kilichotokea leo ndicho kilichonisukuma kuandika hapa. Kwanza wasaidizi wa Naibu spika wanajua idadi ya wabunge walioingia kwa siku husika.. Wamemwambia lakini alifunika kombe Bajeti ipitishwe. Waliposhtuka wabunge wa upinzani na yule wa kuteuliwa na JK akajifanya hajui kabla ya kuagiza Signal Cable ya TBC1 ichomolewe. Ameamua kuahirisha kikao hadi jumatatu kwa kuwa akidi haikufikiwa. Ila aibu hii naipeleka Serikalini (Kwa rais Kikwete) kwa kuwa; 1. Yeye ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa kikao kilichomteua Anne kugombea nafasi ya Spika wa Bunge.. 2. Yeye ndiye 'kwa kushauriana na wazee' aliyemwambia Job Ndugai anafaa kuwa Naibu Spika na akampigia debe kwa wabunge. 3. Bajeti iliyokwama Bungeni imekwamishwa na Wabunge wa Chama chake kwa sababu hata kama wabunge wa Upinzani wote wasingekuwepo.. Wao wenyewe wabunge wa ccm wanazidi akidi. Mwisho nasikitika kwa sababu leo wabunge wanalipwa posho ya bure (Kwa terms za week end/OT) ilhali wameshindwa kufanya kazi iliyowaleta bungeni leo.

  Poleni Watanzania wenzangu.
   
 13. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #13
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,928
  Likes Received: 951
  Trophy Points: 280
  Wizi mtupu
   
 14. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ni kutokana na kuwa na upinzani angalau unaoeleweka, naibu spika alijaribu kufunika mpaka akapatwa na hasira kutokana na Tundu lisu kumkaba!
   
 15. chubio

  chubio Senior Member

  #15
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  washenz sna hwa magamba walaaniwe
   
 16. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I'm Alwayz on Top... Kwa sababu nina vyanzo vingi vya habari.. Ila Ni Mimi Msiogope.. Haha.. Usijali mkuu.
   
 17. D

  Dr Amri Mabewa Member

  #17
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nazionea huruma kodi zetu
   
 18. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,799
  Likes Received: 6,307
  Trophy Points: 280
  Muda si mrefu Mbatia ataitwa na kuulizwa hivi wewe ni MWENZETU au upo kundi gani?
   
 19. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mmm,haya mambo yanatisha sana.Yaani hapo ndipo Chama cha Magamba kilipotufikisha.Kila mtu sasa anafanya jambo lililo katika utashi wake.nikitaka nafanya,nisipotaka sifanyi na hakuna wa kunifanya lolote.Duh,kazi kweli kweli.Kikwete na Waziri wako mkuu mko wapi?
   
 20. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Huna lolote kinacho kusumbua ni mafao anayo yapata Spika Makinda, kwani waonyesha umetumwa, na aliyekutuma mwambie kibiri kimejaa. Na la mwisho ni kuwa, kuwa na nywele kichwani hakumaanishi kuwa unaweza kufikiri.

   
Loading...