CCM na Rais wenu mnazidi kutapatapa kurudisha imani kwa umma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM na Rais wenu mnazidi kutapatapa kurudisha imani kwa umma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jul 26, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kitendo cha M'kiti wa CCM kutumia fedha za walipa kodi kwenda Mbeya 'kuwahonga' wakazi wa kule kwa kutangaza mradi mkubwa wa maji huku akiwabeza CDM kwamba hawana lolote katika kuwaletea wananchi maendeleo na ni wagomvi, ni kielelezo tosha cha kutapatapa kwa kiongozi huyo wa nchi na chama chake.

  Anatoa 'hongo' hiyo kwa kujaribu kurudisha imani na umaarufu unaozidi kutoweka huku madudu kila siku yanaripotiwa kuhusu watendaji wake wakuu kutafuna mapesa ya umma tena bila kunawa na yeye anawatazama tu na kucheka cheka kama vile h.......

  Anasema eti CDM hawana la kuwaletea wananch maendeleo, nauliza, hivi hizo fedha za mradi huo wa maji wa Mbeya ulitoka CCM -- pale Lumumba? Mchemba atuonyeshe ni hundi ipi aliosaini kutoa fedha za mradi huo!

  CCM na rais wenu mnapenda sana kutafuta kurudisha umaarufu mliopoteza kwa kutumia cheap propaganda kwa kutumia hela za walipa kodi.

  Nimeshangaa hata Msekwa anaanza kukishtukia chama chenu....

  mmekwisha kabisa!!!!!!!!!!!!!
   
 2. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  KILA SIKU NASEMA CCM NI SKIO LA KUFA, HATA MSEKWA KALIONA ILO BAADA YA KUUNGAMA THROUGH RAI la leo kuwa KWA SASA CHADEMA INA NGUVU KAMA ILIYOKUWA NAYO TANU 1954,
  MAANAYAKE CHADEMA KWA SASA NI KAMA TANU NA CCM NI CHAMA CHA WAKOLONI, JAMANI HATA WANA CCM HII INAWAHUSU BADILIKENI SAA NA DAKIKA ZINAYOYOMA, M4C SI MASIALA
   
 3. a

  armanisankara JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  TANU kilikua ni chama ambacho kiliunganisha watanganyika wote. hakikujali dini wala kabila. sasa hawa wakristu wa kaskazini kuwalinganisha na tanu umekosea kabisa.. wewe unadhani nyerere aliweke watu wa kwao kwenye vyeo vya Tanu. chadema wachaga wengi sanaa
   
 4. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Wasukuma na Wanyamwezi hatujasema nchi hii. Hapo ndipo mtalia na kusaga meno na huu UKABILA wenu.
   
 5. Mhamiaji Haramu

  Mhamiaji Haramu Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama kukosea aliekosea ni msekwa ambaye ni ccm mwenzenu
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Jk na ccm yake wako njiani kuelekea kuzimu..
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Waende huko kwa amani. Tunaomba iwe hivyo.
   
 8. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  MKUU NAONA UKO KIPROPAGANDA ZAIDI NA PROPAGANDA YENYEWE NDO SILAHA PEKEE ALONAYO NAPE AKIISI ATI ANAPAMBANA NA CHADEMA.

  MANENO YA AINA HII TUMEYAZOEA, HASA DHIDI YA THREAT INAPOJITOKEZA AGAINST CCM,
  MWANZO MREMA ALIKUWA THREAT DHIDI YA CCM, ALIZUSHIWA ANGELINA WAKAPROPAGATE HATA WATANZANIA WAKAAMINI, NGD armanisankara PLEASE TELL ME ANGELINA YUKO WAPI AU NDO MREMA HANA HATARI YOYOTE KWA CCM NDO MMEACHANA NA UZUSHI WENU DHIDI YA MREMA VS ANGELINA,

  IKAJA CUF SAME THING OH WAMEIMPORT KONTEINA LA VISU WATANZANIA WAKAOGOPA BWANA armanisankara AGAIN PLEASE TELL ME ILO KONTEINA LIKO WAPI?? ,
  NA SASA KAVUMA CHADEMA OH UKABILA, OH CHAMA CHA WACHAGA, OH KATIBU WAKE NI PADRI, ACHENI PROPAGANDA ZA KIZAMANI MIE NI ISLAM NA SI MTU WA KASKAZINI NAKUAKIKISHIA TUNAIKUBALI CHADEMA SI KIDOGO NA CHA MOTO 2015 MTAKIONA.
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  katiba inazuia kuweka viongozi wa chama ama kabila flani kwa wingi? Isitoshe umaarufu hauangaliwi kwa vigezo kama unavyotaka kujidanganya navyo ili kujifariji cdm hawajafikia hicho kiwango tafsiri yake halisi utaipata 2015
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama alikosea bali alisema ukweli wa mambo
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Moto ushaa kokwa wa kuwatambarizaaa
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa taarifa yao ccm hawateza kufanya hujuma kama walizozifanyia NCCR Mageuzi 1995 na sasa yanakuja kuwakuta makubwa zaidi miaka 20 baadae!
   
 13. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kikwete hana cha kupoteza yeye muda wake umeisha tamaa ya madaraka aliyokuwa nayo km ambavyo anayo zitto sasa imekamili......hajali chochote ndio maana huwa hata hafikirii anachekacheka tu
   
 14. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  NAWASIHI WATANZANIA TUWE NA UZALENDO NA NCHI YETU, TUMEKUWA OMBAOMBA NA RASILIMALI ZOTE TUNAZO, HII MIccm IMETUDHALILISHA VYA KUTOSHA UCHAGUZI UJAO TUSIFANYE MAKOSA.
  HAWA WEZI LAZIMA TUONE WANAPELEKWA MAHAKAMANI KUJIBU UJAMBAZI WANAOTUFANYIA, WAZEE WETU WANASHINDIA UBUYU KWA MAJI HALI NI MBAYA SANA JAMANI.
  WATOTO PIA VIZAZI VYETU VITATULAANI NA KUTUSUTA KWA UDHAIFU WETU WA KURUHUSU MAJAMBAZI YAENDELEE KUWA MADARAKANI MDA WOTE HUU, HIVI HATUYAONI MADHIRA AYA YANAYOSABABISHWA NA CCM.
  JAMANI CHONDE CHONDE UJAMBAZI UMETOSHA TUBADILIKE
   
 15. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  kaka nimeipenda hii comment yako, ccm wanapropaganda za kizamani sana, kwetu kagera tuna mchanganyiko wa dini pia kabila katika ngazi mbalimbali za uongozi wa chadema. Yani inshort wanalia na ukiona mtu mzima analia jua kashikwa pabaya, let us chadema maintain our umoja huku miccm ikibwabwaja
   
Loading...