Kumbe Arumeru bado ni ngome imara ya CHADEMA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe Arumeru bado ni ngome imara ya CHADEMA!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Emashilla, Jul 26, 2012.

 1. Emashilla

  Emashilla Senior Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chadema.jpg
  Habari za hivi karibuni kuwa ngome ya CHADEMA ilisambaratishwa inaonekana kuwa hazikuwa sahihi kwa eneo la Mgadirisho, Usa-River na Meru kwa ujumla wake. Watu
  wengi wa eneo hili na maeneo ya jirani wanatafuta jinsi ya kupata Kadi za CDM
  Habari za ngome kusambaratishwa zimekuwa gumzo la kipekee, Arumeru Mashariki; baada ya kugundulika kuwa Ngome ya Chadema bado imara haikutikisika hata kidogo.


  Nasikia sauti kila kona zikisema:


  PEOPLE'S POWER!!
   
 2. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  People's power, daima dumu, hakuna kulala mpaka kieleweke.
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Arumeru hawatetereki na propaganda na porojo za magamba daima.
   
 4. k

  kichakare Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Reea uresi!
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kwa kampeni iliyopigwa mwezi watatu siyo rahisi watu wabadilike kwa haraka hivyo eti kisa mwenye kiti wa tawi kahamia ccm..wakihamia kumi kwenda ccm, chadema inavuna 1600..
   
 6. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  arumeru mashariki=arusha mjini
   
 7. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Mungu bariki Tanzania, Mungu bariki nguvu ya umma.
   
Loading...