*Aonya mgombea atakayebebwa na Kikwete
Na Mwandishi Wetu
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yussuf Makamba amejitokeza hadharani kwa mara ya kwanza na kuzungumzia...
Wana JF,
Nimefikiria sana juu ya mustakabali wa Dr. Ulimboka mara Mungu atakapomjalia afya njema na akarejea nyumbani.
Japo sijui msimamo wake binafsi na familia yake, reaction ya serikali...
NI KUHUSU WAGENI WANAOFANYA KAZI KINYUME NA SHERIA NCHINI
na Danson Kaijage, Dodoma
KATIKA kile kinachoonekana kama hatua ya serikali kuwakingia kifua wawekezaji wa kigeni wanaoishi...
Habari hii ambayo imechapwa kwenye toleo la Gazeti la Tanzania daima ikiwa na kichwa cha habari Siri kesi ya rada yafichuka Mwandishi Tamali Vullu, Dodoma nimeihariri kimjengo ili kueleweka...
Diaspora ni njia ambayo imetumiwa na nchi nyingi sana duniani kukuza uchumi wa ndani na demokrasia ya ndani ya nchi husika hasa pale inapokuwa ina wananchi wake wengi nje ya nchi mama. wananchi...
Ndugu wapiganaji wenzangu tunapenda kuwatangazia kwamba siku si nyingi Wapambanaji wa Chadema watafungua tawi USA, kunamaswala ya Itifaki na Kiufundi yanamaliziwa alafu watawajuza.
Wanaomba...
WANAHARAKATI NA WAPENDA MABADILIKO WAMESEMA HAWATAENDA KWENYE UFUNGUZI WA TAWI.WAKATI WATOTO WAO WANASOMA HAPA USA KWA PESA ZA SERIKALI.INGEKUWA BORA KUSAIDIA WATOTO WASIO NA UWEZO WA KWENDA SHULE...
Chama cha demokrasia na maendeleo tawi la London wanapanga kukutana hivi karibuni kupanga mikakati ya kuhakikisha hakubaki hata mwanachama mmoja wa ccm huku ulaya.
Kwa Kufanikisha hivyo, kamati...
MNADHIMU wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu ameshtakiwa kwenye Kamati ya Kinga, Haki na Maadili ya Bunge kutokana na kauli yake kuwa baadhi ya wabunge waliokuwa kwenye Kamati ya Nishati na...
Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, kuna viroja vingi vinatokea. Mheshimiwa Membe aliwahi kukaririwa na Watanzania akisema kuwa anawajua na atawataja watanzania wote waliohusika na...
Kenya's MPs, already among the best-paid in the world, will soon be enjoying £1,900 chairs said to be "the costliest in the Commonwealth".
The Houses of Parliament in Nairobi Photo: ALAMY...
Na Dr. Kitila Mkumbo | Raia Mwema
KATIKA siku za hivi karibuni majadiliano katika Bunge letu yamepata ufuasi mkubwa kutoka kwa wananchi wanaofuatilia kupitia luninga na redio. Kuna...
Warioba`s commission `locking us out` - CSOs
By Lusekelo Philemon
30th July 2012
The Constitution Review Commission has been criticised for monopolising everything in the...
Hali ndani ya ccm imezidi kuwa mbaya na ambayo haijawahi kutokea tangu kuundwa kwa chama hiki tangu mwaka 1977,
WAHAFIDHINA ndani ya ccm wameapa kuwa hawapo tayari kuona ccm ikishindwa Uchaguzi...
Kujua idadi ya watu unaowahudumia ni muhimu sana kuliko kitu chochote unachopaswa kukifamu. Hata mama nyumbani anahitaji kufahamu watu (idadi, umri, jinsia, afya zao) walioko nyumbani kwake ili...
Miongoni mwa hoja alizozitoa Mnyika kuhusu watuhumiwa wa kashfa ya rada, ni kuwafikisha mahakamani wahusika walioisababishia hasara nchi yetu katika sakata la rada. Hii ni kufuatia maelezo ya...
Tuesday, 07 August 2012 20:09
Pamela Chilongola
BENKI ya Dunia (WB) imetoa mkopo wa Sh41 bilioni kwa ujenzi wa miundombinu Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam.
Fedha hizo ni sehemu ya...
Wakati maandalizi ya zoezi yanasemekana kupamba moto, pia kuna changamoto nyingi pia zimejitokeza katika maeneo mbalimbali hasa pale walipotangazwa wasimamizi wa shughuli hiyo. Inaelezwa kuwa...