Hatutaenda kwenye ufunguzi wa CCM Washington DC tarehe 25 mwezi huu.

baajun

Senior Member
May 19, 2012
199
6
WANAHARAKATI NA WAPENDA MABADILIKO WAMESEMA HAWATAENDA KWENYE UFUNGUZI WA TAWI.WAKATI WATOTO WAO WANASOMA HAPA USA KWA PESA ZA SERIKALI.INGEKUWA BORA KUSAIDIA WATOTO WASIO NA UWEZO WA KWENDA SHULE NA KUPATA CHAKULA. NA SIO KULETA PESA HUKU USA KWA AJILI YA KUJAZA WATU ,PIA KUWALIPIA MARADHI.ANGALIA VIDEO HII ALAFU SEMA MWENYEWE.[video]www.youtube.com/watch?v=djUzM60wvNE[/video]
 
OH YEAH... LAZIMA wagomewe kidogo
 
Karamu ya majani inaliwa na wengi usipokuja mbuzi mmoja havunji shughuli; swala, sungura, ng`ombe, punda, farasi, na wengineo wala majani wanaisubiri kwa hamu karamu ya tarehe 25.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hebu tuondolee vihadith vya alfu lela ulela hapa tokea lini wanyama wakafanya karamu
 
Hacha kujifariji watu wamegoma kuja! Jaribuni kutumia pesa sasa au T-shirt.

Nakule mtatumia nini kusomba watu?

Karamu ya majani inaliwa na wengi usipokuja mbuzi mmoja havunji shughuli; swala, sungura, ng`ombe, punda, farasi, na wengineo wala majani wanaisubiri kwa hamu karamu ya tarehe 25.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hacha kujifariji watu wamegoma kuja! Jaribuni kutumia pesa sasa au T-shirt.

Nakule mtatumia nini kusomba watu?

DMV tunajuana mnuso utakuwa wa nguvu tu na isitoshe wanaccm walisema shughuli ni kwa ajili ya wanachama wao; sasa wewe inakuhusu nini?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
DMV tunajuana mnuso utakuwa wa nguvu tu na isitoshe wanaccm walisema shughuli ni kwa ajili ya wanachama wao; sasa wewe inakuhusu nini?

Chama
Gongo la mboto DSM
Ndio maana mnatembea na Ndizi kutwa kufukuzia hitma na sherehe za Misiba tokea tumepata Uhuru CCM imekuwa kazi yake kubwa ni kusherekea badala ya kuleta maendeleo Reli tulizoachiwa na Mkoloni zote mmefuja kwa kusherekea
 
wenyewe mmeamua kujigeuza vipofu maendeleo mtayaonaje?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
wenyewe mmeamua kujigeuza vipofu maendeleo mtayaonaje?

Chama
Gongo la mboto DSM
Kipande gani cha reli kimeongezeka tokea tumepata uhuru? wezi wakubwa Nyinyi CCM mnafuga Vitambi mpaka tunashindwa kutofautisha na Ujauzito!!!!
 
mimi sio mwizi na wala sina kitambi huku ni ugonjwa

Chama
Gongo la mboto DSM
Wassira, Komba, na wengine wengi hivyo walivyo navyo sio Vitambi halafu hao ni CDM? Nitajie Chadema hata mmoja mwenye tumbo kubwa kwi! kwi! kwi! kwi! teh! teh! teh!
 
Wapo wengi tu wengine ni marafiki zangu nikiwataja ni kuwavunjia heshima lete hoja dada mrembo

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom