Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa wilaya ya Serengeti Afariki dunia. Anaitwa Captain mstaafu James Charles Lyamungu. Source ITV
0 Reactions
111 Replies
10K Views
DHAMIRA ya Mwenyekiti wa Jumuiya yaMadaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka yakutaka kuwafichua polisi na watu wengine wanaodaiwa kuhusika katika tukio la kumteka, kumpiga, kumtesa na kumtupa katika...
0 Reactions
142 Replies
13K Views
Vuguvugu la M4C linaloongozwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA limeonekana kutikisa chama cha wananchi CUF wilayani Kilosa ambapo mbali ya wanachama wengi sana wa CUF kujiunga CHADEMA...
17 Reactions
127 Replies
10K Views
Viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiwa na baadhi ya viongozi wa chama hicho wanaoshiriki Operesheni Sangara wakila chakula na wananchi kusherehekea Idd El Fitri...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Leo nilikuwa Chato, Magufuli alikuwa na mkutano hapo. Alidai walimu waligoma kote isipokuwa Arusha na Moshi. Je ni kweli?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakati nchi yetu ikinyemelewa (na pengine ishaanza kutafunwa) na siasa hatari ya udini, ni vizuri kama watanzania turejee msingi wa nchi yetu kuitwa “HAINA DINI”. Msingi ule ulikuwa ni kwamba...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Second Vice-President, Ambassador Seif Ali Iddi, has appealed to cadres of Chama Cha Mapinduzi (CCM) party in Zanzibar to elect genuine and committed party members to safeguard party policies...
0 Reactions
1 Replies
794 Views
It is common to see small groups of people along streets in cities all over Tanzania discussing national matters of the moment informally as if they were members of National Parliaments. The...
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Taarifa nilizozithibitisha muda huu ni kwamba Afisa Mtendaji Kata ya Tandale, anayejulikana kwa jina la Katula, ameng'ag'aniwa na vijana wanaodai kulipwa haki zao kwa ajili ya semina ya zoezi la...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Source: Mwananchi | Waandishi Wetu MAANDALIZI ya Sensa ya Watu na Makazi inayotarajiwa kufanyika Agosti 26, mwaka huu yameingia dosari baada ya matukio kadhaa ya kukwamisha kazi hiyo kujitokeza...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamewataka Watanzania kuondokana na propaganda zinazoenezwa na baadhi ya watu kwamba chama hicho ni cha waumini wa dini fulani na kwamba...
0 Reactions
1 Replies
914 Views
Wakuu Jana Jumanne, timu kadhaa zinazounda timu moja ya Operesheni Sangara-M4C ilikuwa inamalizia kiporo cha Mvomero, ambako kabla ya mapumziko ya siku mbili kwa ajili ya Siku Kuu ya...
20 Reactions
221 Replies
16K Views
Zaidi ya Sh. Bilioni 40 za sekta ya madini zilizotakiwa kuwanufaisha wananchi wanaoishi jirani na migodi mikubwa nchini zimepotea baada ya kampuni za madini kukwepa kulipa kodi ambayo ingetumika...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ingependezaje kama CDM watachukua ushauri huu; Kumualika mpiganaji Mwl.Kashindye aliyefanya kazi ya ziada kuhakikisha ushahidi wote muhimu unawakilishwa mahakamani na pia kuhakikisha mashahidi...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf, amemsimamisha kazi mmoja wa watoto wake wa kiume kutoka ngazi ya unaibu gavana wa benki kuu ya nchi hiyo kwa kushindwa kuorodhesha mali zake katika tume...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari kutoka Mwanza ni kuwa walimu na wadau wengine wa sensa waliokuwa wakiendelea na semina ktk ukumbi wa shule za sekondari Mwanza na Pamba wameingia mtaani na kuandamana hadi kwa mkuu wa...
0 Reactions
53 Replies
4K Views
CHADEMA yailiza CCM Igunga • Rais Mkapa, Dk. Magufuli, Wasira wamponza Kafumu na Ramadhani Siwayombe na Irene Mark CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimepata pigo jingine baada ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hatimaye ccm wamempitisha Musa Kingu kupeperusha bendera yao katika uchaguzi mdogo wa kata ya mtibwa baada ya diwani wa kata hiyo kutoka cdm kufariki dunia. Walioangushwa ni pamoja na Salumu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Viongozi mbali mbali wa CCM tawi la UK wameaanza kuhaha baada ya kuona spidi ya Chadema imeshika kasi UK. inasemekana CCM kuwa makao makuu wamewaagiza waandae nyama choma / berbercue siku ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
huduma zetu na wawekezaji zinaendana na ubora na thamani tunayopewa ktk miradi ya maendeleo au kujuana kwingi halafu kazi haziendi? tusaidiane ili kuiokoa serikali dahifu kwa maoni iwe kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…