Mkuu wa Wilaya ya Serengeti afariki dunia

JERUSALEM 2006

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
526
583
Mkuu wa wilaya ya Serengeti Afariki dunia.
Anaitwa Captain mstaafu James Charles Lyamungu.
Source ITV
 
R.I.P mkuu umetuachia pengo ccm tuliwaandaa wakuu wa wilaya kuchakachua mchakato wa katiba hata hivyo wenzako wataendeleza
 
Mkuu wa wilaya ya Serengeti afariki dunia katika hospitali ya taifa, Muhimbili. Mkuu wa mkoa wa mara bwana John J Tuppa ametoa taarifa hizo kwa waandishi wa habari. Captain James Charles Lyamungu aliugua kwa mda mfupi na taarifa za kifo chake zitatolewa na ikulu.
 
RIP Mkuu wa Wilaya. Nini zaidi na anaitwa nani? Bila shaka amekuta madudu ya CCM yakamsababishia shinikizo.
Pole sana wana familia kwa kumpoteza mpendwa wenu.

Mleta mada unatakiwa kusubiri upate habari kamili. Ni nani? Mazishi lini? etc
 
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Serengeti, captain mstaafu James Charles Lyamungu amefariki dunia mchana huu. Amefariki ghafla katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.
Source: ITV.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom