Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Vuguvugu la M4C linaloongozwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA limeonekana kutikisa chama cha wananchi CUF wilayani Kilosa ambapo mbali ya wanachama wengi sana wa CUF kujiunga CHADEMA pia Mjumbe wa mkutano Mkuu CUF Taifa Bwana Wille Lemi alijitoa rasmi katika CUF na kukabidhiwa kadi na Kiongozi wa upinzani nchini ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa.

Katika mkutano huo Dr Slaa aliwataka wananchi wa vyama vyote kuunganisha nguvu kwa pamoja chini ya vuguvugu la M4C ili kuhakikisha katika uchaguzi mkuu ujao wananchi wanapata serikali itakayojali maslahi yao chini ya CHADEMA.

Dr Slaa pia alishukuru mwitikio wa wanakilosa kutokana na mkutano huo kufurika umati mkubwa wa watu.Mbali na CUF kupoteza wanachama wengi pia mamia ya wanaCCM walikihama chama chao na kujiunga rasmi CHADEMA kuunganisha nguvu katika vuguvugu la M4C.Idadi ya wanachama wapya waliojiunga CDM katika mkutano wa Kilosa ulikuwa zaidi ya elfu moja.
Kilosa ilikuwa ni mojawapo ya maeneo yenye wanachama wengi wa CUF lakini inaonekana ziara ya Dr Slaa imesimika rasmi CHADEMA kama chama kinachopendwa zaidi Kilosa.

423453_275388852574899_52333259_n.jpg
417253_275391115908006_2056588996_n.jpg
384736_275508532562931_74639848_n.jpg
185456_275509589229492_15473429_n.jpg
578773_275321695914948_1175485461_n.jpg

hahahaha! Huyu Mzee Slaa reminds me of an old, dying dog with just a few kicks left in it. and this was one of those kicks ... its a mater of time CDM kusambaratika ... Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. .. Tick.. tock.. !

We bila shaka ni gamba ndiyo maana unataptapa
 
Mkuu hata fisi alisubiri sana mkono udondoke na haikuwa hivyo hadi alipokufa kwa njaa
 
CCM inakufa halafu kuna watu wanategemea mbinu za zamani za vyombo vya dola kama mlango wa kutokea. Piga taswira yaliyotokea huko Mtwara jana ndo ujue mambo hayo yameshakwisha ndani ya mioyo ya Watanzania.
 
Ilisambaratika Mali Empare, Ikasambaratika Ghana Impare, Yugoslavia ikasambaratika, USSR ikasambaratika, utwala wa RUMI ukasambaratika sembuse CCM, siono CCM ilicho nacho cha kuzizid hizo tawala hapo juu zilizo fikia mwisho na kati yao mpaka DAKIKA YA MWISHO HAKUNA HATA MTAWALA MMOJA ALIYE KUWA ANAZANIA KUWA ITAKUJA KUWA HIVO

Ndugu yetu Njiwa si utuambie siri kinakufaje? Kusema tu kinakufa bila kutoa sabab hauelewiki ndugu.
 
Na wewe unanikumbusha Mohamed Al Sahaf aliyekuwa msemaji wa serikali ya Sadam Hussein huko Iraq. Alikuwa anazungumzia kusambaratishwa kwa majeshi ya muungano wakati walikuwa wanashambulia nje ya jengo alilokuwepo! Pole sana maana unachokisema kinafanana na makada wenzio maarufu kwenu. Akina Tambwe Hiza na Steven Wassira!
 
Nimeona jana kwenye taarifa ya habari bana ni nouma, napata uhakika 2015 CCMabepande wanasambaratika na tunaongoza taifa.
 
Mtu akiamka usingizini huwa anaongea, CDM itasambaratika je wakati majmbe yapo ya kutosha na yanaongezeka. Kanawe uso rudi kulala.:israel:
 
Nape auzingatie sana mfano hai kama huu..

ilisambaratika mali empare, ikasambaratika ghana impare, yugoslavia ikasambaratika, ussr ikasambaratika, utwala wa rumi ukasambaratika sembuse ccm, siono ccm ilicho nacho cha kuzizid hizo tawala hapo juu zilizo fikia mwisho na kati yao mpaka dakika ya mwisho hakuna hata mtawala mmoja aliye kuwa anazania kuwa itakuja kuwa hivo

Sijakuelewa, au ndo unaamka usingizini.

Kama Chemical Ally vile!!!!

We bila shaka ni gamba ndiyo maana unataptapa

Mkuu hata fisi alisubiri sana mkono udondoke na haikuwa hivyo hadi alipokufa kwa njaa

CCM inakufa halafu kuna watu wanategemea mbinu za zamani za vyombo vya dola kama mlango wa kutokea. Piga taswira yaliyotokea huko Mtwara jana ndo ujue mambo hayo yameshakwisha ndani ya mioyo ya Watanzania.

Ilisambaratika Mali Empare, Ikasambaratika Ghana Impare, Yugoslavia ikasambaratika, USSR ikasambaratika, utwala wa RUMI ukasambaratika sembuse CCM, siono CCM ilicho nacho cha kuzizid hizo tawala hapo juu zilizo fikia mwisho na kati yao mpaka DAKIKA YA MWISHO HAKUNA HATA MTAWALA MMOJA ALIYE KUWA ANAZANIA KUWA ITAKUJA KUWA HIVO

Ndugu yetu Njiwa si utuambie siri kinakufaje? Kusema tu kinakufa bila kutoa sabab hauelewiki ndugu.

Na wewe unanikumbusha Mohamed Al Sahaf aliyekuwa msemaji wa serikali ya Sadam Hussein huko Iraq. Alikuwa anazungumzia kusambaratishwa kwa majeshi ya muungano wakati walikuwa wanashambulia nje ya jengo alilokuwepo! Pole sana maana unachokisema kinafanana na makada wenzio maarufu kwenu. Akina Tambwe Hiza na Steven Wassira!

Relax Dudes! the gentleman is trying to be realistic i mean come on! really ????? .. chadema kukamata madaraka ya hii nchi..??! that will never ever gonna happen!

Back
Top Bottom