Wakuu kuna ukweli hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu kuna ukweli hapa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JamboJema, Aug 22, 2012.

 1. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Leo nilikuwa Chato, Magufuli alikuwa na mkutano hapo. Alidai walimu waligoma kote isipokuwa Arusha na Moshi. Je ni kweli?
   
 2. MWILI NYUMBA

  MWILI NYUMBA JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Nadhani hizo ni siasa tu!lakini nadhani walimu wa maeneo tajwa tunao huku ngoja waje watuambie ukweli.
   
 3. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180

  so what??? sijaelewa mantiki ya kusema hivi ilikuwa nini
   
 4. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Huyo analopoka hivohivo hadi kamsababishia kafumu avuliwe madaraka
   
 5. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwa wapo watasema wenyewe
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  huyo si ndio kamrubuni mwenzake hadi amevuliwa ubunge?!!..ni mropokaji huyo
   
 7. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mgomo haukuwa na tija, hivyo great thinkers wote hawakugoma.
   
 8. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,934
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  uropokaji huu huu ndiyo umem-cost kafumu ... wacha aendelee hajui kesi ipo mahakamani
   
 9. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  nahisi alitaka kuwananga cdm akiaminisha ndo chanzo cha mgomo!
   
 10. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyu namwona yuko vizuri kwenye utendaji ila siasa kama kaingia choo sicho
   
 11. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,309
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Mzee wa lubambagwe kwa porojo hajambo.
   
 12. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,309
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Mzee wa lubambagwe kwa porojo hajambo.
   
 13. Pangaea

  Pangaea JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 14, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyu bado anahoma ya jinsi alivyochemka Igunga.
   
 14. M

  Mwanandani Senior Member

  #14
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyu mzee waku kariri kilometa za lami anzia uhuru,naisi anavuta bangi.nipo arusha shule zote walingoma.
   
 15. O

  Odb Member

  #15
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  hivi huwa ni kbila gani vile kuna mtu aliniambiaga eti ni muhaya ila anajitaja kuwa ni msukuma wa Chato hivi kuna ukweli hapo???
   
 16. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kwenye hotuba yake alikuwa akichanganya na kisukuma. Aidha, jina 'Magufuli' linaelekea kwa wasukuma. Ila sina uhakika.
   
 17. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #17
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Nashukuru kwa taarifa...Naona zilikuwa siasa tu!
   
 18. k

  kilema pofu Member

  #18
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu ukiona hivyo ujuwe wame ishiwa sera
   
 19. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sera za kuwadanganya Wananchi wa nyakati za sasa hawana, kwa hiyo watabaki wanapiga uongo sana!
   
Loading...