Wangapi wanaipenda CHADEMA na kwanini? Wangapi wanaipenda CCM na kwanini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wangapi wanaipenda CHADEMA na kwanini? Wangapi wanaipenda CCM na kwanini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwlmgomaji, Aug 18, 2012.

 1. M

  Mwlmgomaji Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ifikie mda sasa watanzania tuweke longo longo pembeni na mabishano yasiyo na msingi wa kuijenga nchi yetu. Nchi yetu ya Tanzania imebarikiwa sana tena sana. Madini ya kumwaga ikiwemo gesi asilia, mafuta, almasi, dhahabu na kadharika. Mbuga za wanyama za kutosha kufanya sekta ya utalii kukua.

  Pande zote tumezungukwa na maji ya mito, maziwa na bahari ya hindi japo kuwa tatizo la maji na umeme ni kikwazo. Najua hatuwezi kupata maendeleo ya haraka mpaka tuwekeze vyema katika elimu. Ipo haja ya kujitambua wewe ni mwanachama gani na kwanini unakipenda chama hicho.

  Mie ni mwana chama wa CHADEMA kwa sababu ninahitaji mabadiliko ndani ya nchi yangu. Ili kama mtanzani nijifunze vyema kuwa uongozi lazima uwe msafi yani kwa undani wako na uunje wako. Wasifu wako ukubali kuwa mwadirifu na mchapa kazi hodari.

  "IKULU NI MAHALI PATAKATIFU" Alie toa kauli hii alikuwa anatambua kwa uzoefu wake kuwa baadhi ya sehemu ukiingia utambue kama ndo dereva. Kwahyo sio shughuli rahisi kama inavyo mfanya mtu aitwe rais. Ieleweke ya kwamba "TANZANIA HAITAWALIKI KIENYEJI ENYEJI AU KWA UCHAKACHUAJI" dhana hii imejengeka vibaya.

  Wewe je mwana JF Ni chama gani na kwanini umekipenda chama hicho?
   
 2. t

  thatha JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kwanini huipendi cck au adc au tlp?
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Vyama vya msimu
   
 4. K

  KALOGI MUGETA Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cdm inakubalika sababu ya viongozi wake ni wapambanaji wa ukweli hawana kashfa za kuhujumu uchumi,ndio waanzlishi wa kupambana na ufisadi,mikataba feki,sera zao zina mashiku lastly 95% ya wabunge wake ni majembe,yaani wanaposimama kutoa au kutetea hoja wana fiti si sawa na magamba ebu angalia ,mnyika,msigwa,lusinde,mdee,sugu,wenje,zitto,dkta tundu lissu,mbowe na wengine duh,mi na familia yangu tunawakubali sana,tunnamini wakishika dola nchi itakwenda tunapopahitaji,
  ebu linganisha na wafuatao komba,mwigulu,lukuvi,wassira,nkamia,werema,pinda,ndugai,yule mwenyekiti wa bunge somebody kuwashwa2,thnnn jibu
   
 5. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,957
  Likes Received: 1,283
  Trophy Points: 280
  Chadema!
   
 6. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  chadema hakuna kiazi LUSINDE bali kuna jembe DAVID ERNEST SILINDE
   
Loading...