Semina za uendeshaji wa zoezi la sensa kuambatanishwa na zoezi la uandikishaji makazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Semina za uendeshaji wa zoezi la sensa kuambatanishwa na zoezi la uandikishaji makazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Death of orphan, Aug 18, 2012.

 1. D

  Death of orphan Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika manispaa ya Musoma watu wanaofanya zoezi la sensa wameambiwa kuwa watawaendeshea semina kwa ajili ya kufanya zoezi la usajili wa makazi huku mkataba wa mwanzo waliingia na National Bureau of Statistics na Huu wa usajili wa makazi unaratibiwa na Nationaiona IDENTITY Authority. wadau naomba kwa ambaye anataarifa kuhusu suala la kuunganishwa hizi seminar aelezee kwa kina maana nahisi kuna uchakachuaji wa pesa za seminar ya usajili wa makazi ambayo NIDA walitakiwa kufanya naomba kuwasilisha.
   
 2. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Labda huko huko Musoma, huku kwetu Tabora hakuna kitu kama hicho.
   
 3. Rasib

  Rasib JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani hata sisi watu wa Mbulu Mkoa wa Manyara 2meambiwa kitu hcho...ila hapa kunauchakachuaji mkubwa sana unaotaka kufanyika..
   
Loading...