Mwenyekiti taifa chadema freeman mbowe na joseph mbilinyi mbunge wa mbeya mjini-ndani ya houston tx

kinepi_nepi

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
869
235
Mbowe -Houston MARRIOTT-1.jpg Mbowe -Houston MARRIOTT-1.jpg Mbowe -Houston MARRIOTT-1.jpg View attachment Mbowe -Houston MARRIOTT.pdfView attachment Mbowe -Houston.pdf
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, na Joseph Mbilinyi mbunge wa Chadema kuweni na uzalendo mnaondoka Tanzania mnaacha zoezi la sensa mnakwenda kufungua tawi Marekani.
 
kheeee..sasa huyu na mwenyekiti wenu wa CCM nani wazalendo? Huyo JK aliondoka wakati wa mgomo wa waalimu mbona haukusema abaki na kuonyesha ukomavu a deal na hiyo kitu
 
Ritz, hivi mdingi anakwenda lini marekani, hivi kuna kipindi amewahi kutulia nyumbani hata kwa wiki moja toka awe rais??
 
Hivi sensa nayo ni uzalendo? na kulingana na tangazo la sensa ni kuwa sensa haitasimamisha shughuli za kijamii, kiuchumi na kisiasa.
 
kheeee..sasa huyu na mwenyekiti wenu wa CCM nani wazalendo? Huyo JK aliondoka wakati wa mgomo wa waalimu mbona haukusema abaki na kuonyesha ukomavu a deal na hiyo kitu
Siyo hilo tu, wakati wa mgomo wa Madr jamaa alikuwa karuka nje!
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, na Joseph Mbilinyi mbunge wa Chadema kuweni na uzalendo mnaondoka Tanzania mnaacha zoezi la sensa mnakwenda kufungua tawi Marekani.

Si bora hawa kulikoni yule anaeacha nchi ikiwa kwenye majanga na hali ngumu ya kisiasa na uchumi na kukesha angani kama ndege
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, na Joseph Mbilinyi mbunge wa Chadema kuweni na uzalendo mnaondoka Tanzania mnaacha zoezi la sensa mnakwenda kufungua tawi Marekani.

Usijali mkubwa watahesabiwa hata wale walioko masomoni nje watahesabiwa, hata wale walioko kwenye matibabu Apollo India watahesabiwa, na yeyote yule mwenye familia ambaye ameaacha binadamu ndani ya makazi yake Tanzania atahesabiwa.

Tunahitaji takwimu za watu na makazi, kumbuka sensa inakwenda nyumba kwa nyumba sio mtu kwa mtu. Hakuna sensa duniani inayohesabu watu barabarani.

Kama una swali lingine au kuna ambacho hujakielewa usisite kuuliza tena Kamanda.
 
kheeee..sasa huyu na mwenyekiti wenu wa CCM nani wazalendo? Huyo JK aliondoka wakati wa mgomo wa waalimu mbona haukusema abaki na kuonyesha ukomavu a deal na hiyo kitu

Bora hata hilo la mgomo, mbona aliacha wahanga na walopoteza maisha wakati wa mabomu ya gongo la mboto na kwenda nje ila kwa kifo cha mtu mmoja (KANUMBA) ambae hata hakuwa kiongozi ila aliahairisha safari
 
Ritz, hivi mdingi anakwenda lini marekani, hivi kuna kipindi amewahi kutulia nyumbani hata kwa wiki moja toka awe rais??

atulie nyie mtakula nini kama kashindwa kusimamia rasilimali zetu hata na hili la kuomba omba ambalo si la kutumia akili na haihitaji elimu ashindwe
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, na Joseph Mbilinyi mbunge wa Chadema kuweni na uzalendo mnaondoka Tanzania mnaacha zoezi la sensa mnakwenda kufungua tawi Marekani.

Dingi yupo wapi?
 
Pro-Chadema wana mambo ya kizamani sana sasa kuweka picha ya Mbowe na maghorofa ya Marekani ndio nini utadhani msanii wa bongo movie.
 
Back
Top Bottom