JK kumkaribisha raisi wa Malawi kutembelea Tanzania, Membe na Lowasa wanajisikiaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK kumkaribisha raisi wa Malawi kutembelea Tanzania, Membe na Lowasa wanajisikiaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mikonomiwili, Aug 18, 2012.

 1. mikonomiwili

  mikonomiwili JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kauli iliyotolewa na Membe na Lowasa kua Tanzania ipo tayari kuingia vitani na Malawi ina zidi kuwaumbua wawili hawa

  Mwanzoni ilionekana kama vile Malawi wamekaidi makubaliano yaliyowekwa na kulikua hakuna njia nyingine isipokua kujiandaa kwa vita. Kitu ambacho kilizua hofu kubwa ndani nanje yanchi yetu.

  Jamani vita si kitu rahisi kama Membe na Lowasa wanavyofikiri, ni jambo linalohitaji busara ya hali ya juu na njia zote ziwe zimeshindikana

  Ona sasa swala linaonekana very simple kiasi kwamba JK anaamua kumwalika rais wa Malawi atembelee Tanzania
  Lakini ile kauli ilikua inaonyesha kama kulikuwa na chuki kubwa na isiyoweza vumilika tena.

  Hapa membe na lowasa wanajifunzanini? Na je wanatuonyesha nini kwenye hizi mbiozao?

  Je siku huyu Raisi wamalawi akija Tanzania membe ataendakumpokea?

  Tuachanena siasa sikipuuzi kama nimbio za urahisi watafutenjia nyingine na tena hapa ndo wametuthihirishia kua urahisi hawauwezi

  Kwani kama ingekua ni Lowasa ama membe alikua raisi kwa wakati huu tungepigana na malawi wakati hakuna ulazima huo.
  Luwasa na membe achenikukurukuka
   
 2. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280

  Kwenye Sanaa ya Negotiation walichofanya Lowassa na Membe ....kinaweza kukubalika na hata kwenye War Strategies ..ni sawa....,kulikuwa na mikakati miiwili kwenye hili ambapo yote ingeweza kuwa sawa.

  1. Membe na Lowassa ...wangeweza kushukua msimamo baridi ...Alafu Kikwete angekuja na msimamo Mkali zaidi
  2. kwenye meza ya mazungumzo baadhi ya wajumbe wanawaza wakafanya. Storming...kubwa na hata..kutoka nje ya chumba ....ili kulainisha msimamo wa wapinzani...

  3. Msimamo waliochagua Tanzania in this case unafanana na huo hapo....juu ...wasaidizi wa Rais ...nikimaanisha hata kinda membe na Lowassa walichukuaa msimamo Mkali sana...na kwa msiojuwa wakati wakitoa msimamo Mkali ...tayari Jeshi Letu la wananchi...lilishajipanga kimapigano...na vifaru,mizingaa na Zana zilishategwa kuelekea Malawi,ndege zilikuwa katikaa Hali ya tahadhari morogoro .....huku boti za kijeshi zikiwa tayari zimejipanga ziwani...kusubirii..Amri ya kupigaa...hiki ndicho kilisaidia kumaliza mgogoro(mkwaraa)....

  MATOKEO yalikuwa positive ...Jeshi la Malawi liliondoa boti ziwani...na likarudi nyuma...,hata baadhi ya wananchi wa mpakani Malawi wakaaanza kukimbiaa....,Ndege za uchunguzi zikaacha kuruka...,Rais wa Malawi akaanza juhudi za kumtafuta Kikwete kupitia UN na mataifa mengine....,na ikafuatia na yeye mwenyewe kutoa tamko...kuwa Malawi haitapigana.

  Tahadhari...kivita Malawi wanawaza kuwa wamefanya hivyo ...kwa kuhofia nguvu kubwa ya majeshi yetu waliyoiona mpakani....na mikakati wa kivita hapa ni kulia diplomasia ili nao wapange vikosi vyao....kinachotakiwa hapa ni JWTZ kutolegeza Tactical position...Yao ...na zaidi waimarishe na kuwaachia wanasiasa kazi ya manenoo...

  Kwa vyovote haya niliyoyaelezea hapo juu yalikuwa ni sehemuu ya diplomasia...ya hii vita....,na kwa kiasi kikubwa..yamempa Rais wetu uraisi wa kazi kwenye mazungumzo ......yote hii ilikuwaa sehemu ya mikakati wa Tanzania...Rais wetu unaweza kumnyima maksi Zote Lakini he is good in diplomacy..with his good sense of harmor...
   
 3. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Membe,lowasa na watanzania wengi nikiwemo na mimi tumejitutumua kwa sababu nchi tuliyoingia nayo mgogoro ni ndogo na inatuogopa.Laiti kama ingekuwa kenya au uganda naamini watanzania wengi ikiwemo viongozi wangetokwa kijasho chembamba mpaka kwenye masaburi.Hata malawi woga wao 2 wangekomaa kwamba liwalo na liwe hawaachi kufanya utafti wangejizolea ziwa lote.Mfano saa hz wabongo wamekimbilia msumbiji kabla hata ya vita kunukia,je ingenukia ingekuwaje? Je ingeanza? Ingekuta watu wa mwanza,kagera,kigoma n.k wanaanza kukimbilia nchi jirani wakt vita iko mpakani na malawi
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Huyo Rais wa malawi akija hapa atapewa shimo pale mererani la tanzanite atulizane.. Atuachie sehemu yetu pale lake nyasa basi everyone is happy.
   
 5. k

  khamsa Senior Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 155
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu umezungumza vyema sana. Heshima kwako.
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,355
  Likes Received: 22,217
  Trophy Points: 280
  Wakwere kwa unafiki ni namba wani
   
 7. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  baba mwanahasha bana nilitegemea sana hii kitu kotokea...
  Hivi huyu mama hana mume?? maana mkulu naye yumo............
   
 8. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kama hukuelewa strategy za Lowassa na Membe basi hauta elewa kamwe! Nakushauri uachane na siasa na hata JF huiwezi!
   
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Nimeipenda hii!
   
 10. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  1. Kwanini wabongo tunakuwa wepesi sana kusahau? Membe na Lowassa wakati wanapiga beat kulikuwa na ndege za watafiti za wawekezaji wa Malawi zinazoingia katika mipaka ya Tanzania bila ruhusa. Sasa hivi ndege hizo zimeondolewa. Ingekuwa ndege hizo bado zinaingia Tanzania kihuni, hata Kikwete asingetabasamu mbele ya Rais wa Malawi.

  2. Kumualika Tanzania Rais wa Malawi kipindi ambacho kuna mgogoro kinaweza kwa haraka haraka kuonekana ni jambo la kufurahia, lakini it is very risky. Huyu Rais akipatwa na lolote kwenye safari yake itaonekana Tanzania ndio iliyohusika. Just imagine, kwa bahati mbaya tu ndege ya Rais huyo imeanguka en route to Tanzania, si zitaanza hadithi za Mabwepande tena? Vilevile wabaya wetu wanaweza kutumia mwanya huo kutugombanisha kwa kuleta hitilafu kwenye safari ya Rais wa Malawi. In summary mimi nisingeshauri kumkaribisha Rais wa Malawi, akitaka kuja aje katika ratiba zake za kawaida au akutane na Rais wa Tanzania katika shughuli nyingine kama walivyokutana Nchumbiji.
   
 11. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  PM ni kweli kabisa...wale wamesaidia kazi ya Rais kuwa nyepesi bila hata kutambua.
   
 12. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Mpaka wa Malawi na Tanzania unapita pwani ya mashariki ya Ziwa Malawi. Hiyo ndiyo hoja kuu.

  Kama mlifuatilia speech ya Joyce Banda majuzi alisema yeye mwenyewe kwamba ndiye atayeongea na Kikwete kwenye SADC summit kwamba hoja za Tanzania ni nini kwa maana Ziwa lote ni la Malawi.

  mambo ya kukaribishana wala si tabu, hata Idi Amin aliwahi kuvamia kikao cha Mulungushi club kilichofanyika Mwanza kati ya Nyerere na Kaunda.

  Hoja, ni je Tanzania imeshapata hata tone moja la Ziwa Malawi?
   
 13. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  I LIKE THIS...labda tu neno Mkwara ndo kidogo sijalipenda. Ujumbe wa wazi wa utayari wa kutenda si lazima uwe mkwara. Ukiwaza katika terms za Mikiwara unaweza kumis-interpret intentions za adui ukapigwa. Nimeipenda sana hoja yako. Pamoja na imani yangu kuwa Malawi na Tanzania ni ndugu wa karibu mno kupigana, hakuna ubaya kuendelea kuonesha utayari wa kulinda mipaka tunayoitambua. Good presentation!
   
 14. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  In a way Membe and Lowasa ware completely right!

  Tamko la vita hata sikumoja haiwezi kuwa ndio vita! Vita havpigwani kwa matamko. Hayo matamko ni psychological re/adjustment ... and make the other side just be alert ..of what might come if the deal dallying ... turn out to be a game or hidden motive!!!

  NB.

  Don't underestimate my personal friend Joyce, The President ... She might also be playing the seduction game with ever smiling JK (Tanzania)! You cant tell for sure what is exactly on her mind ... Remember The search of oil/gas and all the plan is still going on! Planes flying up and down over Tanzania borders etc ... You wan tell the TPDF to relax and go parting? Because she charmingly told JK that She is Sister and we are Brothers? ...!! Hah hah things never work this way!!

  She needed those Strong and firm statements of WAR ... That if the delaying tacks and feminine game don't work ... Our JET FIGHTERS will fly over her State house and within a second a parachute operation will take place and miraculously she will be in one of the plane.. bring her with them ... and surely .. IT WONT BE PLEASANT!!
   
 15. W

  Wimana JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 2,453
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 145
  Membe alitoa msimamo wa serikali, Lowasa alizungumzia msimamo wa kamati husika ya Bunge. Kwa hiyo hakuna cha kuwafanya wajisikie vibaya maana kauli zao zimesaidia hayo matokeo yote yanayochukua nafasi sasa.
   
 16. Mnyamwezi wa Urambo

  Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Bila mkwara wa Lowasa na Membe unafikiri hao wamalawi wako wangekubali kukaa kwenye meza ya mazungumzo?Mimi naona Lowasa na Membe walifanyakazi nzuri juu ya kauli zao.

  Hata hivyo tunawasingizia hakuna hata mmoja kati yao aliyesema anataka vita na Malawi,Membe aliwakataza Malawi kuendelea na uchunguzi wa mafuta ktk eneo lenye mgogoro mara moja (Ambapo kila mtanzania mzalendo anakubaliana na onyo hilo) na Lowasa akasema njia ya mazungumzo ni bora zaidi na asingependa tufike vitani lakini kama njia zote zikikwama basi jeshi lipo tayari ki-akili,kitechnolojia kwaajili ya vita,sasa hapo kakosea nini?hata mimi naunga mkono kauli yake.
   
 17. g

  gwacha Member

  #17
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatujapata wala wao hawajapata ndio maa tunazungumza.
   
 18. mikonomiwili

  mikonomiwili JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Umejibiu vyema mkuu lakini nisingeshauri JK amwalike huyu raisi wakati huu kwani nikama ana waaibisha akina lowasa kua haikua ishu sana

  na wala si vizuri kwanchi ambayo isha tamka atharani hata kama nikwamkwara kua tupotayari kupigana na malawi halafu uje sikia raisi wake kaalikwa nailenchi. Ambayo ilisema ipo tayari kupigana nae

  Mfano rahisi wewe jirani yako kakukosea kiasikwamba mnachukuliana mapanga naukatangaza nikimwona lazima nimtwange mapanga , wakati huohuo mkewako anamwalika nyumbani kujakukutembelea utajisikiaje?
   
 19. H

  HIPPO Member

  #19
  Aug 18, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  piga ua membe rais 2015,
   
 20. Maendeleo tu

  Maendeleo tu JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tatizo la watz hatufanyi analysis na huwa tunakurupuka kuchangia. Mikaeli nimeyapenda majibu yako. Membe na Lowasa walitimiza wajibu wao ambao pia umetupa heshima kama nchi
   
Loading...