Kwa hili la CHADEMA ni mfano wa kuigwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili la CHADEMA ni mfano wa kuigwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Magesi, Aug 23, 2012.

 1. M

  Magesi JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tukio la kuungua moto kwa nyumba ya mkazi wa manispaa ya Moshi inayoongozwa na CHADEMA limeonyesha ni jinsi gani CHADEMA wanavyowajali wananchi hivyo wanapaswa kukabidhiwa dola na kuongoza taifa hili.

  Kwani baada ya nyumba kuteketea juzi mapema jana Meya wa manispaa pamoja na diwani wa kata hiyo kupitia CHADEMA mh. Sharrifu waliitisha mkutano eneo la tukio na kufanya harambee iliyofanikiwa kupata kiasi cha shilingi milion tatu kutoka kwa wananchi wapenda mabadiliko wakiwemo viongozi wa CHADEMA.

  MH.NDESAMBURO HAKUFIKA LAKINI ALITOA AHADI YA MABATI PAMOJA NA MBAO NYUMBA YOTE.

  LILIKUA NI TUKIO LA KUIGWA PAMOJA NA KUONYESHA UWAJIBIKAJI WA CHAMA MAKINI CHADEMA KWA WANANCHI M4C DAIMA
   
 2. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Wakati CCM ikibomoa bomoa nyumba za wananchi wenzao huku wanafanya harambee ya kujali alifikwa janga la nyumba.CCM na utawala wake hauna tofauti jehanamu unatesa wananchi.
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Kweli huu ni mfano wa kuigwa! Na watanzania tungekuwa na moyo hii nadhani tungepiga hatua kubwa kimaendeleo!
   
 4. hendeboy

  hendeboy JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  huyo walimchangia tu kwa vile ni mwanachama wa chadema angekuwa raia wa kawaida wasingechanga
   
 5. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,643
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Una uhakika?
   
 6. only83

  only83 JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ni chama makini kinachoongozwa na MUNGU mwenyewe, upendo, mshikamano na kujali ni kawaida yetu.
   
 7. C

  CAT5 Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona haya kwa CDM yatakuwa ndio kipaumbele chao dhidi ya wananchi wake.
  Angalia hata suala la kulia na mafisadi hii ni tosha kukuonyesha wako pamoja na wananchi
  wanyonge wa TZ.
   
 8. YAGHAMBA

  YAGHAMBA JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 538
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Raia wa kawaida yukoje?, chadema haina ubaguzi kama wa CCM wa kuwanea wananchi masikini kila kukicha.
   
 9. t

  tenende JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Inafaa kuigwa!
   
 10. M

  Magesi JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni mwanachama wa ccm mkuu na bendera ipo kwake CHADEMA wanaongoza na kuwajali watanzania wote
   
 11. Bwemero L

  Bwemero L Member

  #11
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  viva cdm
   
 12. Jean chill

  Jean chill Member

  #12
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  big up CDM
   
 13. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Tunataka chama makini na kinachowajali wananchi na si chama cha kudidimiza maisha ya wananchi kama nyinyiem
   
Loading...