Tunawezaje Kujiingiza Kwenye Jumuiya Ya Africa Mashariki Kwa Vitisho Ya Wakenya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunawezaje Kujiingiza Kwenye Jumuiya Ya Africa Mashariki Kwa Vitisho Ya Wakenya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Aug 23, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Kwa muda wa siku mbili, mjadala wa Jumuiya ya Africa mashariki imechukua sura mpya baada ya Mkenya mmoja kutoa shutuma za kejeli na dharau dhidi ya watanzania. Bila ya kumungunya maneno, mtanzania mmoja ambaye ni mtetezi wa haki za binadamu kamjibu huyo mkenya kisawasawa. Je malumbano kama haya yanatija kweli kwenye huu muugano?

  Mkenya
  Majibu Ya Mtanzania
   
 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kwa akiri ya magamba tutaingia tu.si unajua akiri zenu zilivyo???kama mmebemendwa vule.napita tu.
   
 3. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  CCM tumejaza vimeo ila sidhani watakuwa wapumbavu kuungana na wakenya. jana wamechinjana kama mbuzi leo tushiriane nao ili hao wenzao waletwe tanzania? hatuwezi kukubali.
   
 4. m

  mamajack JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wewe huwezi kukubali sababu najua kwa kiasi flani unaumia na haya maisha na unajua itakuwa na effect kwako liakini mwenyekiti wako dhaifu atakubali kwa moyo mmoja. Kwanza mpaka hapa alishakubali.
   
Loading...