Tumsaidie Sitta kujua vijana wasio wabunge waliokuzwa CHADEMA!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumsaidie Sitta kujua vijana wasio wabunge waliokuzwa CHADEMA!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by USTAADHI, Sep 2, 2012.

 1. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kulingana na kauli za ajabu nilizosikia Samweli Sitta, Waziri wa Afrika Mashariki akiongea leo RADIO ONE nimewia kuwaomba wanajamvi tumwoneshe kuwa si kweli kuwa CHADEMA haina vijana ILIOWAKUZA na hawajatoka CCM kama anavyofikiri wengine ni wabunge na wengine wako nje ya bunge na wanatenda vyema kupigania utaifa. Tunajua anapita humu, au wapambe wake wampe orodha ajue kuwa CDM iko na hazina

  1. Ukitaja ainisha kuwa hajatoka CCM alikulia CHADEMA au alitoka CCM

  2. Asizidi miaka 40 LENGO NI KUMWONESHA MZEE MNAFIKI KUWA HAZINA YA VIONGOZI IKO CHADEMA SAANA WALA WASIMKAMIE SAANA DR SLAA AU MWKT
   
 2. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mimi Hapa
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Kuna hadi wazee waliopo chadema ambao hawajawahi kuwa wanachama wa ccm sembuse vijana?

  Mimi binafsi sijawahi kiwa mwanachama wala mpenzi wa ccm ever. . Na nimekwenda umri si mchezo, umri wangu ni mkubwa kuliko umri wa ccm.
   
 4. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Me sikuwahi kuwa gamba.
   
 5. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mimi naona kama jamaa anataka majina direct hata ikibidi yaorodhweshwe kwa kasi au vipi mtoa maada tunaomba ufafanuzi
   
 6. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Huyu mzee anazeeka vibaya,ameshalikoroga ndani ya ccm akijua hana chake baada ya 2015 sasa anaanza kujipendekeza ili asiachwe nje ya ccm yake baada ya 2015, for sure hawezi kupata nafasi ya kugombea urais ccm wala chadema kwa hiyo yupo njia panda
   
 7. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  LEo na mimi nimemsikia anasema vyama vingi huwa vinamhitaji saana vingi tu ikiwemo chadema hivi na nyie chadema kwani sitta anawafaa nini acheni kukumbatia watu wanaotoka ccm au kuwa inferior kwao hawa jamaa huwa wana mbinu chafu sana
   
 8. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  ndio mkuu labda sitta hajui kuna vijana wangapi wanafanya siasa kubwa nchi hii na walikuzwa chadema kwa namna nilivyomkot tumpe takwimu kidogo
   
 9. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  6 ni mnafiki. Atakuja kujutia hizi kauli na vijembe vyake vya reja reja ooohhhooo!
   
 10. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Tabaka la aina ya Samwel itta linaelekea ukingoni. Kundi la watu wenye kuwaza vyeo tu ni baya sana. Wanajilimbikizia vyeo na mali, wanahodhi fursa na nafasi za wengine. Ni kundi lenye motto ya "unanijua mimi?..."

  Ifike mahali tukimaliza chaguzi kuu tuchore mstari tufanye kazi kusubiri msimu mwingine.
  Kwa mfano CDM wamejikita kujenga chama chao, 6 yeye anajenga nini zaidi ya makundi ndani na nje ya CCM?
   
 11. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Asee Chadema wamekuza majinga tuu vijana wanakuzwa kuwa walevi wa viroba na ganja na kushinda bilicanaz
   
 12. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Idiot!!Siwezi kuvumilia huu upuuzi wako..wewe kama si tahira basi umeshavurugwa..hujielewi na hutajielewa kamwe!utakufa na ujinga wako!nonsense!!!
   
 13. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,818
  Likes Received: 36,917
  Trophy Points: 280
  Jamaa ana uchu wa madaraka

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 14. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Huu uzi una maana nyingine wachangiaji wanachangia vingine, mbona jf imekuwa hivi au sio tena great thinker
   
 15. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Lisu, Mnyika, Zitto, Mdee, Msigwa, Nassari, Matiku, Sugu, Heche, Mwita Maranya, Michael Weda, to mention but a few, wako wengi sana
   
 16. S

  Sikonge City Member

  #16
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  katika orodha hiyo yumo sitta mwenyewe, nafsi iko cdm, mwili ndo upo ccm
   
 17. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #17
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote zaidi ya CDM. Na ni Mnyamwezi!
   
Loading...