Mjadala redio imaan: Vyombo vya habari vya Tz ni janga la taifa na Vinamchukia Kikwete live

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Wadai magazeti mengi na vyombo vyingi vya habari hupotosha habari kwa makusudi.
wamesema sensa limepotoshwa huku hata wale waliokuwa wakivamiwa na polisi usiku wa manane vyombo hivi vilikuwa kimya.
wamesema ukiangalia maagzeti mengi yanayoripoti maagzeti hayo ni wahahariri wake wengi ni wakiristo

lkn wanadai hata wakenya wanavishangaa sana vyombo vyetu vya habari kwa kupindisha mambo.
walitoa mfano Mkufunzi mmoja wa MUM amedai alipoenda kanyata University, kikwete huko anapendwa sana kutokana na kuanzisha UDOM na Mandela univ, lkn vyombo vingi vya habari vya tanzania haviandiki habari hizo badala yake vinatizama vinamtizama Kikwete kama kikwete na Imani yake ya dini jambo ambalo ni janga kubwa kwa taifa
 
sio suala la dini hapa ni kuwa nabii hatambuliki nyumbani kwao!Nilishawahi kupost hata kuwa Kikwete ni bora zaidi ya wengine waliomtangulia ukiondoa mwalimu!lakini nikasema kinachomharibia ni kushindwa kuwadhibiti maswahiba wake hasa kuwakana na kuwachukulia hatua za kinidhamu na kisheria wanaoiba mali za nchi hii!
 
I you don't stand for something, you will fall for anything

Hawa jamaa wanasimamia nini?? Wao waliongoza kampeni ya kupinga sensa, walikuwa wanamkomoa nani??
 
chadema. sio ndio waliotumwa j2 kuhamasisha?
 
Hawajui wanasimamia nini, kukataa sensa ni kumhujumu JK wanayemtetea kila siku hapa jukwaani.

kwanini chadema hawatumii fursa hii kumuhujumu zaidi kama inavyofanya na kwa hili wanamuunga Mkono? au ndio amri ya j2 wanaifuata chadema?
 
Hakuna partisan politics when it comes to matters of national interests. Sensa inafanyika kila baada ya miaka kumi na takwimu zake sio kwa matumizi ya Sheikh Ponda, CCM, CDM wala Kardinal Pengo, ni matumizi ya nchi. CHADEMA wakihujumu sensa, ni kuhujumu nchi na kujihumu wenyewe. Kama wakichukua nchi 2015 unadhani watatumia takwimu za 2002??? Tatizo mmeweka mbele imani hata kwenye mambo yasiyo na imani, think outside the box.
 
sensa chini ya ccm ni safi. uchaguzi chini ya CCM ni uovu? akili nyengine ukaimbiwa na wewe ujiambie hata ukijiita msomi lkn hili mumepotoka. kesho ukisikia kanisa limekosoa sensa hata chadema watageuza upepo
 
Sijui nikwambie nini, lakini ujue tu kuwa weka imani pembeni ya mambo ya maendeleo. Nikumbushe ni lini kanisa limekataza jambo la maendeleo na CHADEMA wakasupport??
 
nafikiri hilo ndio la msingi mkuu
 
Sijui nikwambie nini, lakini ujue tu kuwa weka imani pembeni ya mambo ya maendeleo. Nikumbushe ni lini kanisa limekataza jambo la maendeleo na CHADEMA wakasupport??
CCM inaleta maendeleo? wewe ngoja pengo akosoe sensa utavyoisikia chadema itapkata mbuga mikoani kuikosoa sensa iliondeshwa na ccm
 
Nipe mfano hata mmoja wa jambo la maslahi ya taifa ambalo Chadema wamegomea kwa sababu ya amri ya kanisa? By the way sheikh Ponda data zake zishafika TAKWIMU
 
sensa chini ya ccm ni safi. uchaguzi chini ya CCM ni uovu? akili nyengine ukaimbiwa na wewe ujiambie hata ukijiita msomi lkn hili mumepotoka. kesho ukisikia kanisa limekosoa sensa hata chadema watageuza upepo

Pole mkuu kwa mawazo kama hayo.
Kutoka kwako hakuna matumaini ya kusonga mbele.
 
Nipe mfano hata mmoja wa jambo la maslahi ya taifa ambalo Chadema wamegomea kwa sababu ya amri ya kanisa? By the way sheikh Ponda data zake zishafika TAKWIMU
hahaha. hata ukiabiwa utasema nya tu. leo CCM inaonekana bora ktk sensa mbele ya chadema kwa kuwa tu kanisa limeunga mkono. kila siku zikizidi objective ya chadema inaonekana waziwazi kwa taifa la tz
 
mpaka sasa sijamuelewa huyu mtoa mada alikua anamaanisha nini haaeleweki kabisa
 
hahaha. hata ukiabiwa utasema nya tu. leo CCM inaonekana bora ktk sensa mbele ya chadema kwa kuwa tu kanisa limeunga mkono. kila siku zikizidi objective ya chadema inaonekana waziwazi kwa taifa la tz

Manemo matupu ndugu, no research no right to speak.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom