NDUGU WANAJAMVI kuna mjadala ITV kuhuhsu utoroshaji wa madini nini kifanyike ni kipimajoto yuko naibu waziri wa madini na wengine bado sijawafahamu mjadala ni mkali kinachoonekanekana wanajitetea...
Ni ukweli kuwa Rais anastahili sifa. Amesema kweli kuwa Tanzania kuna watu wanamiliki viwanda vya uongo.Lakini,hakuwataja. Asingeweza kufanya hivyo.Hawajui DOWANS,Richmond wala wamiliki wa viwanda...
Mtihani mpya kwa Lowassa
Mwandishi Wetu
Toleo la 259
19 Sep 2012
Salma Kikwete, Ridhiwani nao hatarini
Uchaguzi maeneo yao kurejewa
Sumaye amtesa Nagu Hanang
WAKATI baadhi ya vigogo...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Alhamisi, Septemba 20, 2012, ameweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Daraja la Kigamboni...
Kila wakati najiuliza hivi hawa wabunge kwanini hawakai kwenye majimbo yao? Wanakuwa wapi?Siku za nyuma hadi nilipofikia hatua ya kubadili mtazamo kwamba ngoja kura yangu niipeleke upinzani huenda...
Sasa ni wazi Bunge limejipa hadhi ya mahakama, Someni habari ifuatayo
Veronica Kazimoto, MAELEZO
Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge imetoa tamko la kuwataka watendaji wa Serikali...
NICKEL
By: Megan Wait
21st September 2012
Updated 6 hours ago
JOHANNESBURG (miningweekly.com) – Aim-listed African Eagle Resources has increased the resource estimate for the Wamangola...
Mwaliko Kwa Wahariri Katika Mkutano Na Hamad Rashid- Maelezo- 21.09.2012
TANGAZO ATT. WAHARIRI WOTE: MBUNGE WA JIMBO LA WAWI HAMAD RASHID MOHAMED ANATARAJIA KUKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO...
Kama mnakumbuka tulisajili meli za wairan....nimeona kitu kinatokea kuna baaadhi ya nchi sasa hauwezi kutuma pesa Tanzania..hii kitu imenitokea mimi hapa kama wiki moja iliyopita huku Ughaibu...
Sugu alituahidi atadeal na suala la barabara na sasa takribani barabara saba hapa jjn mbeya ziko katika matengeneneza katika kiwango cha rami. Mpesya(mbunge wa zamani wa ccm) ilikuwa ni...
Mwandishi Wetu
Toleo la 259
19 Sep 2012
Salma Kikwete, Ridhiwani nao hatarini
Uchaguzi maeneo yao kurejewa
Sumaye amtesa Nagu Hanang
WAKATI baadhi ya vigogo wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)...
Ndugu wanajamvi jana mkuu wetu wa nchi alikuwa anazindua mradi wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi.
Na katika hotuba yake nilivutiwa na kauli kutoka kwa mkuu wetu wa nchi kuwa hali ya...
Hali ni tulivu hapa arusha na hapa nipo mtaa wa Goliondoi ulinzi ukiwa umeimarishwa jijini.NTAKUWA NAKULETEA KINACHOENDELEA POPOTE HAPA JIJINI JUU YA RUFAA HII YA UBUNGE WA KAMANDA LEMA...
Towards the ideals of peaceEach year the International Day of Peace is observed around the world on 21 September. The General Assembly has declared this as a day devoted to strengthening the...
Kwaninimataifa makubwa wanaweka msisitizo katika demokrasia na kutoa ushirikiano mzurikwa viongozi wanaozingatia utawala wa sheria inayo kuza demokrasia?
Je ni kwelimataifa makubwa ni wabaguzi na...
Ilikuwa Jumapili ya tarehe 9 Dec 2011 saa kumi na mbili asubuhi, nilikuwa nikitembelea bustani iliyoko nyuma ya Nyumba yangu. Miguu yangu ilipata mshituko wa ghafula niliposhuhudia jambo hili...