Demokrasia na utawala wa dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Demokrasia na utawala wa dunia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ame, Sep 21, 2012.

 1. A

  Ame JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Kwaninimataifa makubwa wanaweka msisitizo katika demokrasia na kutoa ushirikiano mzurikwa viongozi wanaozingatia utawala wa sheria inayo kuza demokrasia?

  Je ni kwelimataifa makubwa ni wabaguzi na labda wana agenda ya siri katika kuzingatiahayo?

  Nitajaribukweka mwongozo wa majibu ya maswali haya mawili name naomba wenye mawazotofauti wachangie ili tuondoe dhana ya ubaguzi iliyojrngeka kati yetu.

  Nimepatahili wazo baada ya kusoma majibu ya viongozi wawili wa vyama vya siasa Zitto naProf. Mhongo kuhusu ukosefu wa wataalamu uliosababisha sisi kama Taifa kuingiakatika mikataba mibovu inayoileteahasara Taifa letu.

  Kwa walewaliosoma International Trade na policy analysis pamoja na Developmenteconomics watakubaliana na mimi kuwa ni theory ya kwanza kabisa ya kiuchumikuwa you eat what you produce mchumi asiyejua hili basi hawezi kujiita mchumi.Pia wachumi wote wanafahamu kuwa principle ya kwanza ya welfare ni freecompetition na good governance hasa pale market inapo fail (Market ku failhaimaanishi imeshindwa in a mare term failure bali principle za ki-uchumi hazihold woter kwenye hiyo specific transaction). Hii ni misingi mikuu ambayo hayomataifa wanazingatia na hapa tunapata majibu ya haya maswali..

  Dunia kamailivyo ni kitu kimoja na kila sehemu ya dunia inategemea nyingine katika kuwekamaisha katika hali nzuri. Mataifa ya dunia wanajua kuwa uchumi wa dunia ukokatika category mbili na vile vile welfare. Kwamba kwenye wider perspectivekila nchi duniani ina contribution kwenye uchumi na welfare ya dunia. Pia hiyowider perspective inategemea what is happening kwenye stand alone perspectiveyaani kila Taifa ki-vyake. Inamaana basi kama hakuna demokrasia kwenye nchimoja ina impact kwenye wider perspective ya uchumi na welfare ya dunia nzima.Hivyo msisitizo wa wachumi wa dunia ni kuwa na free trade duniani na goodgovernance kwenye global commons hasa pale market zinapo fail. Ndiyo maanawakaanzisha vyombo kama WTO; gobal conventions and treaties za kidunia nakatika blocks mbali mbali duniani.

  Viongoziwetu katu wasijidanganye kuwa hata kama watatoa rushwa ya kuwapa burerasilimali za nchi zetu ili wasisimbuliwe watafanikiwa kuwaondoa hao haoviongozi wa dunia katika kusimamia demokrasia ya dunia. Hi inatokana na kuwabila demokrasia ku-exploit hizo resources katika nchi yetu itafanya cost ofproduction iwe kubwa kuliko faida watakayo pata katika stand alone economy zaona pia katika uchumi na welfare ya duniaambapo nao pia wapo included.

  Matafia hayomakubwa yamejitolea kusomesha watu na wengi wenye experience na Full-brightscholarship; Ford foundation; NORAD etc watakubaliana name kuwa swali la kwanzani kuwa utaifanyia nini nchi yako utakapo rudi baada ya kumaliza masomo? Hivyomajibu ya hao wanasiasa wetu kuwa hatuna wasomi huku watu kibao wakiwawamepatiwa scholarship na hayo mashirika ni majibu mepesi mno.

  Kwaniniinvestors wanasema hawapati faida? Napengine kukataa kulipa kodi? Ukiangaliatransaction costs wanazokumbana nazo katika kuweka investiment zao kwa sababuya rushwa na nepotism ni kubwa mno kiasi ambacho wakikubali kulipa hizo kodiinapunguza profit margin zao kwa kiasi kikubwa. Pia uncertainty katikainvestment inawafanya wavune hiyo rasilimali kwa muda mfupi na hivyo wanajikutawana lazimika kuweka input kubwa yak u-extract badala yak u-spread hiyo costkwenye time line na kuweka discount rate kubwa ili ku recover costs zao kwamuda mfupi na kutengeneza profit..Wale waliofanya Project Economic Analysis hasa the enginering aspect yaani PERT wanalijuahili vizuri.

  Kwa ufupi tuhapo utagundua wenye shida kubwa ni sisi zaidi kuliko hao mataifa makubwatunaowatupia lawama kila siku. Kama ni ubaguzi sisi wetu ni mkbwa zaidi kulikowao. Wanatumia mabavu na akili nyingi kuandika mikataba isiyowazi kukwepakutostaarabika kwetu.
  Majibu yawanasiasa wote wawili yalileta contradiction na wala hayakutoa picha kamilikati ya CCM na CDM nani anasera nzuri..Kwani wakati Mh. Zitto akiteteamazingira ya investments hapo hapo anaonyesha wao wameandika mikataba mibovukutubana. Prof. Mhongo naye ameleta hofu isiyo na sababu kwa investors ndiyo maana ikabidi aitisheconference tena ku-clear the doubt aliyo i-creat mwenyewe. Sasa hapo utaonabado ss kama wa Tanzania ndiyo wenye matatizo zaidi japo tuko kwenye vyamatofauti.
  Inabiditubadilike...

   
Loading...