Hongera kwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera kwa Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fugees, Sep 17, 2012.

 1. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Sugu alituahidi atadeal na suala la barabara na sasa takribani barabara saba hapa jjn mbeya ziko katika matengeneneza katika kiwango cha rami. Mpesya(mbunge wa zamani wa ccm) ilikuwa ni kitendawili kwake.
   
 2. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Barabara zinajengwa na sugu ?
   
 3. E

  Escherichia Coli Senior Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zinajengwa na kodi zetu na misaada/mikopo ya wazungu.
   
 4. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,652
  Likes Received: 2,100
  Trophy Points: 280
  wanajenga watanzania, SUGU anawawakilisha vyema!
   
 5. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  inamaana miaka yote hiyo tangu mbeya iitwe mbeya kulikuwa hakuna misaada ya kutengeneza barabara?
   
 6. Root

  Root JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,230
  Likes Received: 12,939
  Trophy Points: 280
  Tatizo huwa ni uwakilishi kama mbunge analala utategemea nini?
  Mbunge akiwa active kwenye Jimbo lake mambo kama hayo serikali inatekeleza.
  Mwisho hongereni
   
 7. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Mkuu fugees, pamoja na ujenzi wa barabara za kiwango cha rami katika jiji la Mbeya, barabara karibu zote katika jiji hili ziligeuka kuwa mahandaki ya kutisha. Lakini baada ya jiji la Mbeya kujipatia rais wa jiji (Sugu) barabara zote zimeshindiliwa kwa changalawe nzito, spea za spring za magari zimekosa soko katika maduka ya Mbeya.
   
 8. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Sugu moto chini aaaaaaaa
   
 9. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Safi sana mh sugu.
   
 10. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  usimamizi na ufuatiliaji wake na mzuri. acha kuwa mbunjunju.
   
 11. Mzee wa ngano

  Mzee wa ngano Senior Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Natamani nikutane na sugu nimkumbushe mistri yake ya zamani,,, 1. Dini na siasa sasa ni kama biashara vipi baada ya kesho?
  2. Wanasiasa wa bongo wengi waongo, wananipa hasira utadhani nina nyumba ubungo na
  3. Hatutaki wabunge wenye vipara tunataka wabunge wenye busara.
  Ningemuona ningemshauri asitoke nje ya hizo kauli zake kwenye maisha yake yote ya kibunge.
   
 12. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mbeya nchi sugu rais...
   
 13. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,652
  Likes Received: 2,100
  Trophy Points: 280
  Na huu ni mwanzo tu! Najua watu flani hasa yule looser aliyepewa u-DC baada ya Wanambeya kum-bulshit, atakuwa anajickia hovyo sana!
   
 14. b

  bantulile JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,439
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Dar es Salaam zinjengwa hayuko Sugu, Dodoma zinajengwa hayuko Sugu, Arusha .................
  Ni mpango wa WB kuboresha miji mtoa uzi usidanganyike. Pia lazima ujenzi uwemo kwenye bajeti ya mwaka wafedha na sio vinginevyo. Sugu anatetea haki za wasanii.
   
 15. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #15
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,199
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 160
  Ughonile!!!! Utwambombo!!! Mbeya inayowakilishwa na Sugu sio ile ya miaka miwili iliyopita. Pale Mbeya kuna mhafidhina mmoja anaitwa Athanas Kapunga mkabila sana na mpika Majungu ni Katibu Mwenezi wa CCM na ni ndie Meya wa Jiji. Kazi yake kubwa ni kumpiga vita Mkurugenzi wa Jiji kwa sababu hana ubaguzi kwa Wapinzani. Mbeya ya sasa imeboreshwa sana walau ina hadhi ya kuitwa Jiji. Moto wa Sugu na madiwani wa Upinzani wamefanya kazi kubwa sana. Ndagha fijo Malafyale Sugu!!
   
 16. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,531
  Likes Received: 10,444
  Trophy Points: 280
  hongera mh.sugu, tunaomba umshauri silinde aje huku tunduma maana barabara zina hali mbaya sana hasa ya katikati ya mji inamahandaki badala ya mashimo.!
   
 17. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #17
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Hajengi ila ana nafasi kubwa kuhakikisha bajeti zilizopangwa, ambazo ni kodi zetu zinaelekezwa kwa miradi hiyo. Wabunge wana role kubwa kwa jimbo kudorora au kuchangamka.
   
 18. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #18
  Sep 17, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,652
  Likes Received: 2,100
  Trophy Points: 280
  huko utajua wewe! Sisi tupo na Mbeya yetu na Mbunge Wetu, over! Na kama bajeti inakuwepo kila mwaka mbona kipindi chote cha Mpesya (looser) hatukuona hii mambo?
   
 19. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #19
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  acha nyege za siasa na andika vizar sio unaandika pumba.
   
 20. KIBOKO MSHELI

  KIBOKO MSHELI Member

  #20
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ila sugu aendelee kujitahidi ili angalau atimize asilimia kubwa ya ahadi zake..
   
Loading...