Hamad Rashid kujitoa CUF leo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hamad Rashid kujitoa CUF leo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thatha, Sep 21, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mwaliko Kwa Wahariri Katika Mkutano Na Hamad Rashid- Maelezo- 21.09.2012
  TANGAZO ATT. WAHARIRI WOTE: MBUNGE WA JIMBO LA WAWI HAMAD RASHID MOHAMED ANATARAJIA KUKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI HAPA NCHINI KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA IDARA YA HABARI(MAELEZO) KUANZIA SAA 4 ASUBUHI. MH. HAMAD ATAZUNGUMZIA MAMBO MBALIMBALI. WAPI-=MAELEZO-DAR ES SALAAM MUDA- SAA 4.00 LINI -IJUMAA- 21.09.12 WAHUSIKA - WAHARIRI KUTOKA VYOMBO VYA HABARI

  ADC nao watahudhuria?????
   
 2. M

  Mnyaturu Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Atuachie jimbo letu.
   
 3. t

  thatha JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  mwanzilishi kivuli wa ADC
   
 4. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 180
  Anapenda sana fedha,hawezi kujitoa kirahisi huyo.
   
 5. t

  thatha JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Hamad Rashid: CUF ijitoe serikali ya mseto

  na Asha Bani


  MBUNGE wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF), amelaani matumizi ya nguvu za Jeshi la Polisi wakati wa chaguzi mbalimbali huku akikishauri chama chake kujiondoa katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa baina yao na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na kutowasaidia wananchi.
  Akizungumza na Tanzania Daima kwa njia ya simu, Hamad alisema kuwa ameshangazwa na nguvu kubwa ya Jeshi la Polisi iliyotumika katika uchaguzi mdogo wa Bububu uliomalizika hivi karibuni na hivyo kusababisha kujeruhi wananchi bila sababu.
  Alisema CUF iliingia katika serikali ya mseto kwa lengo la kuweka uhuru na haki lakini wameshindwa kufikia azima hiyo na kwamba ikiwa muafaka huo ni kwa maslahi ya watu wachache basi wajitoe.
  "Mimi nashangaa sana hayo mazungumzo sijui yalikuwa ya nini na ‘ndoa' ilikuwa ya nini kama ilikuwa ni kwa masilahi ya watu wachache huku wananchi hawanufaiki nayo, wanapigwa risasi, basi CUF wajiondoe kama si kwa masilahi ya wananchi wote," alisema Hamad.
  Hata hivyo, Hamad alisema Serikali ya Zanzibar inaundwa na vyama viwili, hivyo ni dhahiri kwamba CCM na CUF ndio wametumia nguvu katika kuvikandamiza na kuhujumu vyama vidogo vya siasa ambavyo havikuwa na serikali.
  Katika uchaguzi huo wa Jumapili ambao CCM iliibuka kidedea ikifuatiwa na CUF na Chama kipya cha ADC, vurugu kubwa zilizuka huku matokeo hayo yakipingwa vikali.
   
 6. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  ana hoja gani, kafilisika kisiasa huyo
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Huyu hana hoja
   
 8. i

  iseesa JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa nini neno "MWISLAMU" limechomekwa hapa!!!? Sema Hamad hilo neno uliloongeza halina mashiko. Ushamba hauna dini
   
 9. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Kuna waislamu wajanja
   
 10. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  KACHEMKA HUYO! ushamba na uislamu havina connection.
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  duh,,,,,,kama mufti simba aliyeuza kiwanja cha BAKWATA KWA MANJI
   
 12. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ok ,wanafiki huwa hawaoni njia
   
 13. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,151
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Liwalo na liwe
   
 14. meddie

  meddie JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  ....hivyo!! kumbe si kitu kimoja?
   
 15. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  kwanini waislamu wanakuwa delicate kuliko yai, hawana subra kama za Mwenyezi Mungu, wanajazba kama Ibilisi Shetani, wao ni wa uzao upi Mungu au shetani!!!
   
 16. N

  NO EXCUSE JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 406
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45

  Mheshimiwa, Ondoa neno Mwislamu. Halina uhusiano na mjadala.
   
 17. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,215
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  wanakuja wenyewe mi sisemi chochote
   
 18. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #18
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Hata kama mimi si Mwislam ama Hamad Rashid lakini nimeudhiwa na hii post yako na bila shaka nimebonyeza "report abuse"...Na mods wasipokupa adhabu nitashangaa sana
   
 19. t

  thatha JF-Expert Member

  #19
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  radhia,imani ya kiislam imeingiaje hapa???????????????????

  staarabika plz
   
 20. t

  thatha JF-Expert Member

  #20
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  usitaje dini za watu taja hamad ndio mada ya huu uzi
   
Loading...