Utoroshaji wa madini nini kifanyike?

maganjwa

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
2,774
2,297
NDUGU WANAJAMVI kuna mjadala ITV kuhuhsu utoroshaji wa madini nini kifanyike ni kipimajoto yuko naibu waziri wa madini na wengine bado sijawafahamu mjadala ni mkali kinachoonekanekana wanajitetea sana mzigo wameusukuma kwa wachimbaji wadogo na sio wale wakubwa kuna nafasi ya kuchangia kwa simu tuwakabe hawa mafisadi mtangazi wamemzidi naomba kwa wale wenye TV tuwakabe hao mafisadi. nawakilikilisha
 
Back
Top Bottom