Chadema

tindiga la wapi mkuu......dadavua.....Mbauda......Kijenge.....Unga LTD.....Sakina.....Ngaramtoni.....Sanawari......au wapi.....?
 
Nafkiri anamanisha uwanja wa Suye pale mbele ya Maasai Camp..tulikuwa tunauita uwanja wa tindigani, lkn pia kuna uwanja wa tindigani kimandolu ukipitia njia ya Kijenge juu kutokea kwa Shabani pia kuna tindigani mbauda ila sidhani ka anamanisha huko!
 
ok sawa sawa.....basi angeandika na sehemu ulipo.....
 
tindiga la wapi mkuu......dadavua.....Mbauda......Kijenge.....Unga LTD.....Sakina.....Ngaramtoni.....Sanawari......au wapi.....?

Uwanja wa Tindigan uko Kimandolu karibu na ofisi ya kata!Jamaa ana wazo zuri sn but hii sehemu iko mbali na mji kati.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom